-
Kuitangaza Hizbullah kundi la kigaidi, zawadi bora ya kuutunukia utawala wa Kizayuni
Mar 05, 2016 03:52Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani taarifa iliyotolewa karibuni na Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi (P)GCC ya kuliweka jina la harakati hiyo kwenye orodha ya "mashirika ya kigaidi" na kueleza kwamba hatua hiyo imechukuliwa katika muelekeo wa pamoja wa Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yakiri kuhusu nguvu ya Hizbullah ya Lebanon
Mar 04, 2016 23:35Utawala wa Kizayuni wa Israel umekiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Abdulahiyan: Kuiita Hizbullah kuwa ni kundi la kigaidi hakuna maskahi kwa M. ya Kati
Mar 03, 2016 03:18Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa hatua ya kuiweka harakati ya Huzbullah ya Lebanon katika orodha ya makundi ya kigaidi ni sawa na kufumbia macho jinai zinazofanywa na utawala ghasibu wa Israel suala ambalo halina faida kwa usalama na amani na eneo la Mashariki ya Kati.
-
Al Azhar: Hakuna vita baina ya Shia na Suni nchini Syria
Feb 24, 2016 22:30Licha ya njama zinazofanywa na Saudi Arabia na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya kuuhusisha mgogoro wa Syria na masuala ya kimadhehebu, Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amesema kuwa vita vinavyoendelea nchini Syria si vita baina ya Shia na Suni.
-
Kuongezeka ukosoaji wa siasa za kijuba za Benjamin Netanyahu Mashariki ya Kati
Feb 23, 2016 04:14Wimbi jipya la ukosoaji wa siasa zilizofeli na za kijuba za Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu limeanza kushuhudiwa katika eneo zima la Mashariki ya Kati.
-
Wanasiasa wa Marekani ni watumishi wa utawala wa Kizayuni
Feb 22, 2016 00:08Mchambuzi mmoja maarufu wa nchini Marekani amesema kuwa, wanasiasa wa Marekani wapo kwa ajili ya kuutumikia utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Israel yafichua usaliti mpya wa Mahmoud Abbas kwa Wapalestina
Feb 18, 2016 11:36Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel amefichua kuwa Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina alizuia mafuta ya Qatar kufikishwa katika eneo la Ukanda ili kutatua tatizo la fueli katika eneo hilo.
-
Israel yaiomba Ujerumaini iisaidie kuzungumza na HAMAS kuhusu kubadilishana mateka
Feb 17, 2016 11:41Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni ameiomba Ujerumani iinasihi Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ikubali kubadilishana mateka wa Kipalestina kwa viwiliwili vya wanajeshi wawili wa utawala wa Kizayuni vilivyoko mikononi mwa Hamas.
-
HAMAS: Iran ndiye muungaji mkono wa kweli wa muqawama na taifa la Palestina
Feb 13, 2016 04:42Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, hakuna nchi yoyote ya Kiarabu au ya Kiislamu ambayo hadi hivi sasa imeweza kuifikia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuunga mkono muqawama na taifa linalodhulumiwa la Palestina.
-
Sheikh Naeem Qassim: Hizbullah haijaghafilika katu na Israel
Feb 12, 2016 23:52Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya muqawa wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah, amesema muqawama katu haujaghafilika na njama na vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel.