-
Umoja wa Mataifa: Utawala wa Kizayuni wa Israel ni mkiukaji wa haki za binadamu
Feb 11, 2016 22:32Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya haki za binadamu huko Palestina amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni mkiukaji wa haki za binadamu.
-
Ufuska waongezeka katika familia za kidini za Wazayuni
Feb 10, 2016 11:54Duru za Kizayuni zimeripoti kuwa ufisadi wa kimaadili na ufuska umeongezeka miongoni mwa Waisraeli walioshika dini.
-
Ismail Hania akosoa vikali uungaji mkono usio na mpaka wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni
Feb 04, 2016 12:01Naibu wa Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, Marekani ndio mshajiishaji mkuu wa Wazayuni katika uvamizi wao dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Israel kumpa chakula kwa nguvu mfungwa wa Kipalestina
Feb 03, 2016 23:58Utawala haramu wa Kizayuni umepasisha mpango wa kumpa chakula kwa nguvu mwandishi wa habari raia wa Palestina ambaye anashikiliwa katika jela za utawala huo.
-
Ban ailaani tena Israel kwa kughusubu ardhi za Palestina
Feb 02, 2016 00:16Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon kwa mara nyingine ameulaani utawala wa Israel kwa hatua yake ya kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina na kujenga vitongoji vya Wazayuni kinyume cha sheria katika ardhi hizo zilizoghuhusubiwa.
-
HAMAS yapinga mpango wa mapatano wa Ufaransa
Jan 31, 2016 04:02Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema harakati hiyo inapinga mpango wa Ufaransa wa kutaka kuitisha mkutano wa kimataifa kwa lengo kuanzisha tena mazungumzo ya mapatano kati ya Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Haniya: Muqawama wa Palestina umejiweka tayari kukabiliana na utawala wa Israel
Jan 29, 2016 22:10Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema vikosi vya wanamuqawama wa Palestina vimejiweka tayari kikamilifu kukabiliana na mashambulio yanayoweza kufanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni.
-
Radiamali ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa siasa za kupenda kujitanua za utawala haramu wa Israel
Jan 27, 2016 23:46Siku ya Jumanne tarehe 26 Januari, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa alikosoa vikali kuendelea ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi unaofanywa na utawala vamizi wa Israel katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Ali Akbar Velayati: Israel inafanya njama za kuzigawa nchi za Kiislamu
Jan 27, 2016 10:07Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unafanya njama za kuzigawa nchi za Kiislamu, lakini licha ya njama hizo katu hautafanikiwa kufikia malengo yake.