Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza

    UN yatiwa wasiwasi na hali ya kiafya na kimatibabu ya Ukanda wa Gaza

    Jan 03, 2025 12:04

    Wataalamu hao wa Umoja wa Mataifa wataka kukomeshwa upuuaji wa waziwazi' haki ya haki ya kiafya huko Gaza baada ya utawala wa Kizayuni wiki iliyopita kuishambulia Hospitali ya Kamal Adwan katika eneo hilo na kumtia nguvuni kihilela na kumuweka kizuizini Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dakta Hussam Abu Safiya.

  • Watoto wachanga wapatao 1,100 wameuliwa katika vita vya Israel dhidi ya Ghaza

    Watoto wachanga wapatao 1,100 wameuliwa katika vita vya Israel dhidi ya Ghaza

    Jan 02, 2025 06:49

    Watoto wachanga Wapalestina wapatao 1,100 wameuawa katika mashambulio ya kinyama ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel tangu Oktoba 2023.

  • Wanajeshi wa Israel waendelea kupokea vipigo kutoka kwa wanamapambano wa Palestina

    Wanajeshi wa Israel waendelea kupokea vipigo kutoka kwa wanamapambano wa Palestina

    Dec 31, 2024 02:51

    Kundi la Saraya al-Quds, Tawi la Kijeshi la Harakati ya Jihad al Islami ya Palestina, limetangaza kwamba limefanikiwa kutoa kipigo kipya na kikali mno kwa wanajeshi makatili na vamizi wa Israel huko Ghaza.

  • Wafanyakazi wa BBC wafichua mhariri wao alivyochangia 'kusafisha' jinai za kivita za Israel Ghaza

    Wafanyakazi wa BBC wafichua mhariri wao alivyochangia 'kusafisha' jinai za kivita za Israel Ghaza

    Dec 30, 2024 03:45

    Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Uingereza BBC wamefichua kuwa mhariri wao Raffi Berg ana udhibiti kamili wa ripoti zinazotolewa mitandaoni na shirika hilo kuhusu vita vya mauaji ya kimbari ya Israel huko Ghaza, na kuhakikisha kuwa habari zote zinazotolewa zinaipendelea Israel. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa na tovuti ya habari ya Drop Site News.

  • Mcheza chess wa Iran akataa kushindana na mpinzani wa Israel akiwaunga mkono Wapalestina

    Mcheza chess wa Iran akataa kushindana na mpinzani wa Israel akiwaunga mkono Wapalestina

    Dec 30, 2024 03:45

    Katika kuwaunga mkono watu wa Palestina, mchezaji wa chess wa Iran amekataa kushindana na mwakilishi wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mashindano ya World Rapid Chess Championship 2024 huko New York.

  • Jinai za Israel zinaendelea: Wapalestina wengine 15 wauawa shahidi

    Jinai za Israel zinaendelea: Wapalestina wengine 15 wauawa shahidi

    Dec 27, 2024 11:08

    Wapalestina wengine 15 wameuawa shahidi katika jinai ya hivi punde ya jeshi la utawala wa Kizayuni katika ukanda wa Gaza.

  • New York Times: Jeshi la Israel liliidhinisha kuuliwa raia mpaka 100 Ghaza ili kumpata mshukiwa mmoja wa Hamas

    New York Times: Jeshi la Israel liliidhinisha kuuliwa raia mpaka 100 Ghaza ili kumpata mshukiwa mmoja wa Hamas

    Dec 27, 2024 07:43

    Uchunguzi uliofanywa na gazeti la New York Times la Marekani unaonyesha kuwa, jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel lililegeza kwa kiwango kikubwa sheria zake za kivita katika miezi ya mwanzo ya vita vyake dhidi ya Ghaza, na kusababisha vifo vingi vya raia.

  • Iraq yafukua mabaki ya miili 100 ya Wakurdi wanawake na watoto waliouliwa na Saddam

    Iraq yafukua mabaki ya miili 100 ya Wakurdi wanawake na watoto waliouliwa na Saddam

    Dec 27, 2024 07:25

    Mamlaka ya Iraq imeanza kufukua mabaki ya miili ya wanawake na watoto wapatao 100 wa Kikurdi walioripotiwa kuuliwa na utawala wa Saddam Hussein katika miaka ya 1980.

  • Polisi ya Kenya 'yasutwa' kwa kudai hakuna Wakenya waliotekwa nyara

    Polisi ya Kenya 'yasutwa' kwa kudai hakuna Wakenya waliotekwa nyara

    Dec 27, 2024 07:24

    Tume ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Kenya (KNCHR) imekanusha ripoti ya Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kwamba hakuna Wakenya waliotekwa nyara nchini humo ikisema, katika mwezi huu wa Desemba pekee, watu saba hasa watumiaji wa mitandao ya kijamii wametekwa nyara; na kufikia sasa, sita hawajulikani waliko.

  • Licha ya hujuma za kinyama za Israel Sana'a na Hudaydah, kombora jengine la Yemen lapiga Tel Aviv

    Licha ya hujuma za kinyama za Israel Sana'a na Hudaydah, kombora jengine la Yemen lapiga Tel Aviv

    Dec 27, 2024 03:38

    Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kuwa ving'ora vya tahadhari ya mashambulio ya anga vimesikika katika sehemu kubwa ya maeneo ya Palestina yanayokaliwa kwa mabavu yaliyopachikwa jina bandia la Israel kufuatia shambulio la kombora lililorushwa kutoka Yemen mapema leo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS