Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Adhabu kwa wanachuo wa Marekani wanaounga mkono Palestina

    Adhabu kwa wanachuo wa Marekani wanaounga mkono Palestina

    Jun 03, 2024 03:41

    Makumi ya wanachuo wa Chuo Kikuu cha Chicago nchini Marekani wameondoka katika chuo hicho wakipinga hatua ya bodi ya wakurugenzi ya kukataa kutoa shahada za wanafunzi wanaounga mkono Palestina.

  • Hizbullah ya Lebanon yadungua ndege isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni

    Hizbullah ya Lebanon yadungua ndege isiyo na rubani ya utawala wa Kizayuni

    Jun 01, 2024 23:40

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imeidungua ndege isiyo na rubani ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel ndani ya anga ya Lebanon.

  • Bagheri: Operesheni ya Ahadi ya Kweli ilitokomeza uwezo bandia wa Israel wa kuzuia hujuma

    Bagheri: Operesheni ya Ahadi ya Kweli ilitokomeza uwezo bandia wa Israel wa kuzuia hujuma

    Jun 01, 2024 07:18

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "ubunifu na uamuzi wa Iran wa kumtia adabu mchokozi kwa operesheni ya Ahadi ya Kweli umetokomeza na kufuta uwezo hewa na bandia wa kuzuia hujuma na mashambulio wa utawala wa Kizayuni".

  • UNRWA: Wapalestina 16,000 wanaishi katika 'hali mbaya' kwenye skuli moja katikati ya Ghaza

    UNRWA: Wapalestina 16,000 wanaishi katika 'hali mbaya' kwenye skuli moja katikati ya Ghaza

    May 31, 2024 06:44

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNWRA) limesema, zaidi ya Wapalestina 16,000 waliolazimika kuyahama makazi yao wanaishi katika hali mbaya kwenye skuli moja ya shirika hilo iliyoko katika mji wa Deir al-Balah katikati mwa Ukanda wa Ghaza.

  • Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa wanachuo wa Marekani wanaotetea Palestina

    Barua ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa wanachuo wa Marekani wanaotetea Palestina

    May 31, 2024 03:58

    Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika barua aliyowaandikia wanachuo wenye utu wanaotetea wananchi wa Palestina katika vyuo vikuu vya Marekani, ameonyesha mshikamano wake na maandamano ya wanachuo hao dhidi ya uzayuni na kuwataja kuwa sehemu ya mrengo wa muqawama.

  • Tal al Sultan; Hospitali pekee inayofanya kazi katika mji wa Rafah

    Tal al Sultan; Hospitali pekee inayofanya kazi katika mji wa Rafah

    May 29, 2024 05:48

    Wizara ya Afya ya Gaza imetangaza kuwa ni hospitali moja tu ambayo imebaki inayotoa huduma katika mji wa Rafah kufuatia mashambulizi ya jeshi la utawala wa Kizayuni.

  • Donald Trump akiri juu ya udhaifu wa utawala wa Kizayuni

    Donald Trump akiri juu ya udhaifu wa utawala wa Kizayuni

    May 29, 2024 05:27

    Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani amesema katika mkusanyiko wa Wayahudi wa Marekani kwamba utawala wa Israel umepoteza uwezo wake.

  • Harakati za muqawama wa Palestina: Hatutashiriki katika mazungumzo yoyote na utawala wa Kizayuni

    Harakati za muqawama wa Palestina: Hatutashiriki katika mazungumzo yoyote na utawala wa Kizayuni

    May 28, 2024 04:37

    Harakati za Mapambano za Palestina za Hamas na Jihadul Islami zimetangaza kuwa hazitashiriki tena kwenye mazungumzo yoyote baada ya utawala wa Kizayuni kushambulia kambi ya wakimbizi wa Kiaplestina katika mji wa Rafah.

  • MSF wawasilisha kesi mpya ICC dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa mauaji ya waandishi habari Gaza

    MSF wawasilisha kesi mpya ICC dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa mauaji ya waandishi habari Gaza

    May 27, 2024 23:14

    Jumuiya ya Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) imewasilisha mashtaka mapya katika mahakama ya kKimataifa ya Jinai (ICC) kufuatia jinai za kivita za utawala wa Kizayuni dhidi ya waandishi wa habari katika Ukanda wa Gaza.

  • Amnesty International yaitaka mahakama ya ICC kuchunguza jinai za Israel Rafah

    Amnesty International yaitaka mahakama ya ICC kuchunguza jinai za Israel Rafah

    May 27, 2024 08:27

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS