Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kuanza kusikilizwa na ICJ shauri kuhusu Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    Kuanza kusikilizwa na ICJ shauri kuhusu Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina

    Feb 20, 2024 03:15

    Jumatatu ya jana tarehe 24 Februari 2024, Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), ilianza kusikiliza shauri la kihistoria la kuamua kuhusu uhalali wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wa kuzivamia na kuzikalia kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Israel kuruhusu Wapalestina waliopindukia miaka 70 tu kuingia Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Ramadhani

    Israel kuruhusu Wapalestina waliopindukia miaka 70 tu kuingia Msikiti wa Al Aqsa wakati wa Ramadhani

    Feb 19, 2024 07:38

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeidhinisha mpango wa kuwawekea vizuizi vikali Wapalestina wanaoishi kwenye ardhi zilizoanza kukaliwa kwa mabavu mwaka 1948 na wa mji wa Baitul Muqaddas (Jeruselem) vya kuingia kwenye Msikiti wa Al Aqsa wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, utakaoanza wiki ya pili ya mwezi ujao wa Machi.

  • Kulaaniwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa Umoja wa Afrika

    Kulaaniwa utawala wa Kizayuni wa Israel katika mkutano wa Umoja wa Afrika

    Feb 19, 2024 04:47

    Viongozi wa nchi za Kiafrika waliokutana mjini Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia, wamelaani jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza na kutoa wito wa kusitishwa mara moja mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.

  • Vitisho vipya vya wakosoaji wa Natenyahu; Kuvunjwa Baraza la Mawaziri la Vita

    Vitisho vipya vya wakosoaji wa Natenyahu; Kuvunjwa Baraza la Mawaziri la Vita

    Feb 18, 2024 06:02

    Sambamba na Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni Benjamin Netanyahu kuendeleza tabia yake ya kujichukulia hatua za upande mmoja, wakosoaji wake wametishia kulivunja Baraza la Mawaziri la Vita la utawala huo.

  • Umoja wa Afrika: Jamii ya kimataifa haipaswi kufumbia macho jinai za Israel dhidi ya Palestina

    Umoja wa Afrika: Jamii ya kimataifa haipaswi kufumbia macho jinai za Israel dhidi ya Palestina

    Feb 17, 2024 23:31

    Mwenyekiti wa mzunguko wa Umoja wa Afrika (AU) ameitaka jamii ya kimataifa kutofumbia macho dhulma, mauaji na ukandamizaji unaofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Kiongozi wa HAMAS: Israel inabeba dhima ya kukwama mazungumzo ya kusitisha vita

    Kiongozi wa HAMAS: Israel inabeba dhima ya kukwama mazungumzo ya kusitisha vita

    Feb 17, 2024 23:30

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa, utawala wa Kizayuni unawajibika kwa kushindwa kupiga hatua mazungumzo na kufikia makubaliano ya usitishaji vita katika Ukanda wa Gaza.

  • HAMAS yaendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa Israel

    HAMAS yaendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa Israel

    Feb 16, 2024 23:18

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kujibu jinai zinazofanywa na Wazayuni hao makatili dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.

  • Askari katili wa Israel wamuua baba na mama Wapalestina mbele ya watoto wao wadogo

    Askari katili wa Israel wamuua baba na mama Wapalestina mbele ya watoto wao wadogo

    Feb 15, 2024 23:55

    Katika muendelezo wa mauaji ya kimbari dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Ghazza, askari wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamewaua kwa kuwapiga risasi wazazi wa watoto kadhaa wa Kipalestina mbele ya macho yao.

  • Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa

    Umoja wa Mataifa: Idadi ya raia waliouawa huko Gaza haijawahi kushuhudiwa

    Feb 15, 2024 23:13

    Mkuu wa Kitengo cha Asia Magharibi katika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema: Idadi ya raia na waandishi wa habari waliouawa huko Gaza haina mfano.

  • Mashambulizi makubwa ya makombora kutoka Lebanon yazilenga ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)

    Mashambulizi makubwa ya makombora kutoka Lebanon yazilenga ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)

    Feb 14, 2024 23:01

    Duru za habari zimetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya makombora kutoka upande wa kusini mwa Lebanon yalifanyika katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za palestina jana Jumatano.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS