-
Ombi la Afrika Kusini kwa Mahakama ya Kimataifa ya Haki kuhusu jinai za Israel katika mji wa Rafah, Gaza
Feb 14, 2024 10:28Serikali ya Afrika Kusini imesema imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kuzingatia iwapo uamuzi wa utawala wa Israel kupanua operesheni za kijeshi Gaza hadi mji wa huko Rafah utahitaji mahakama hiyo kutumia mamlaka yake kuzuia ukiukwaji zaidi wa haki za Wapalestina.
-
Kuongezeka ukosoaji wa Magharibi dhidi ya himaya ya Marekani kwa Israel katika vita vya Gaza
Feb 13, 2024 23:06Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya, Josep Borrell, Jumatatu iliyopita aliitaka Marekani kuacha kutoa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na kiwango kikubwa cha mauaji ya raia katika vita vya Gaza.
-
Iran: Kupanua jinai za vita dhidi ya Wapalestina wa Rafah kutakuwa na madhara makubwa kwa utawala wa Kizayuni
Feb 13, 2024 04:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa onyo kali kwa mpango wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kuuvamia mji wa Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza na kusema kuwa utakuwa na madhara makubwa kwa utawala huo.
-
Ujumbe wa Bunge la Ufaransa: Israel inataka kuwaangamiza wakazi wote wa Gaza
Feb 09, 2024 04:16Ujumbe wa Bunge la Ufaransa umetangaza kuwa, Israel sio tu kwamba inataka kuiangamiza Hamas, bali pia kuwaangamiza wakazi wote wa Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Maoni: Wamarekani wanaamini Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza
Feb 08, 2024 23:03Nusu ya Wamarekani wanaamini kuwa, kumefanyika mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza huko Palestina.
-
Duru za Wazayuni: Nasrullah ndiye kiongozi shupavu zaidi wa Ulimwengu wa Kiarabu
Feb 06, 2024 04:43Wazayuni wanakiri kwamba, Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah, ni kiongozi shupavu na mwenye nguvu zaidi katika Ulimwengu wa Kiarabu na Magharibi mwa Asia.
-
Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi
Feb 03, 2024 23:07Marekani ambayo kwa miaka kadhaa sasa imevuruga amani ya eneo la Magharibi mwa Asia kutokana na uwepo wake wa kijeshi katika eneo hilo ili kufanikisha malengo yake na ya washirika wake, imekuwa ikiyumbisha usalama wa eneo hilo nyeti na muhimu kwa kufanya mashambulizi na uvamizi wa mara kwa mara.
-
UN: Watu wa Gaza wanapambana kila siku ili kuishi
Feb 01, 2024 23:10Umoja wa Mataifa umesema kuwa wakazi wa Kipalestina wa Ukanda wa Gaza kila siku wanapambana ili kuweza kuishi.
-
Wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa hadi hivi sasa Ghaza
Feb 01, 2024 03:44Jeshi la utawala wa Kizayuni ambalo ni maarufu kwa kuchuja mno habari limesema katika taarifa yake ya jana kwamba, hadi hivi sasa wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza, tarehe 7 Oktoba, 2023.
-
HAMAS: Jeshi la Israel linaendelea kufanya jinai kwenye hospitali za Gaza
Jan 31, 2024 23:30Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kuwa, wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wanaendelea kufanya jinai katika hospitali na vituo vya matibabu huko Khan Yunis, kusini mwa Ukanda wa Gaza.