Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Kwa mara ya tatu, marubani wa Israel wakataa kuendesha ndege itakayombeba Netanyahu

    Kwa mara ya tatu, marubani wa Israel wakataa kuendesha ndege itakayombeba Netanyahu

    Sep 08, 2023 22:58

    Kwa mara ya tatu, marubani wa shirika kubwa zaidi la ndege la utawala wa Kizayuni wa Israel wametangaza kuwa hawataendesha ndege itakayompeleka Benjamin Netanyahu New York kulalamikia mageuzi ya mahakama yaliyofanywa na waziri mkuu huyo wa utawala huo haramu.

  • Wazayuni waendeleza unyama kwa kubomoa nyumba za Wapalestina

    Wazayuni waendeleza unyama kwa kubomoa nyumba za Wapalestina

    Sep 06, 2023 23:08

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendelea na hatua zao za kinyama za kubomoa nyumba za wananchi wa Palestina huko Quds inayokaliwa kkwa mabavu.

  • Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kupinga Waziri Mkuu wa Libya kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 02, 2023 07:15

    Baada ya maandamano makubwa ya wananchi wa Libya ya kulaaniwa kukutana na kufanya mazungumzo Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo na mwenzake wa utawala wa Kizayuni, kwa mara nyingine tena Waziri Mkuu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya, Abdel-Hamid al-Dbeibeh, alisisitiza siku ya Alkhamisi juu ya uungaji mkono wa nchi hiyo kwa kwa malengo matukufu ya Palestina na mapambano ya Palestina dhidi ya ya utawala haramu wa Israel.

  • Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima

    Aug 30, 2023 22:59

    Katika hatua zao zisizokoma, makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia tena msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.

  • Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wavamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima

    Aug 28, 2023 23:16

    Makumi ya walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wamevamia msikiti wa al-Aqswa na kuuvunjia heshima.

  • Muqawama wa Palestina wawapongeza wananchi wa Libya

    Muqawama wa Palestina wawapongeza wananchi wa Libya

    Aug 28, 2023 23:15

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa shukrani rasmi kwa wananchi wa LIbya kwa hatua yao ya kuonesha msimamo imara wa kulaani hatua ya waziri wa mambo ya nje wa Libya ya kuonana na waziri wa mambo ya nje wa Israel.

  • Jihad Islami: Kukamatwa na mauaji ya kigaidi havizuii mapambano ya ukombozi

    Jihad Islami: Kukamatwa na mauaji ya kigaidi havizuii mapambano ya ukombozi

    Aug 25, 2023 04:30

    Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya harakati ya Jihad Islami ya Palestina amesisitiza kuwa kukamatwa, ukandamizaji na mauaji ya kigaidi haviwezi kuzima moto wa mapambano ya ukombozi wa Palestina.

  • Walowezi wa Kizayuni na mbunge wa zamani wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa

    Walowezi wa Kizayuni na mbunge wa zamani wa Israel wauvunjia heshima msikiti wa al-Aqswa

    Aug 23, 2023 23:04

    Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wakiwa pamoja na Mbunge wa zamani wa Bunge la Israel wamevamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.

  • Afisa wa usalama wa utawala wa Israel: Maneno ya Nasrullah hayapaswi kupuuzwa

    Afisa wa usalama wa utawala wa Israel: Maneno ya Nasrullah hayapaswi kupuuzwa

    Aug 19, 2023 22:57

    Naibu Mkuu wa Shirika la Usalama la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kwamba, matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, hayapaswi kupuuzwa.

  • Sisitizo la Algeria la kutokuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sisitizo la Algeria la kutokuwa tayari kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 19, 2023 00:21

    Naibu Spika wa Bunge la Algeria Moussa Kharfi ametamka bayana kuwa nchi yake haitoanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS