-
Wafungwa 1,000 wa Kipalestina waanza mgomo wa kula katika jela za Israel
Aug 18, 2023 04:47Mashirika ya habari yameripoti kuwa, wafungwa 1,000 wa Kipalestina wameanza mgomo wa kula katika jela za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kuibuka hitilafu mpya ndani ya baraza la mawaziri la Netanyahu kuhusu suala la usalama
Aug 12, 2023 23:00Hitilafu ndani ya baraza la mawaziri la Benjamin Netanyahu kuhusu suala la usalama zimeongezeka ambapo mawaziri wa baraza hilo wanahitilafiana waziwazi kuhusu jambo hilo.
-
Kwa mara nyingine walowezi wa Kizayuni wenye chuki na Uislamu wavamia msikiti wa al-Aqswa
Aug 10, 2023 09:58Kwa mara nyingine tena walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu ada wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu.
-
Walowezi wa Kizayuni wenye kufurutu ada wavamia tena msikiti mtakatifu wa al-Aqswa
Aug 09, 2023 22:52Walowezi wa Kizayuni wenye misimamo ya kufurutu mpaka kwa mara nyingine tena wameuvamia msikiti wa al-Aqswa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kulivunjia heshima eneo hilo takatifu lenye historia kongwe.
-
HAMAS: Israel ni adui wa Umma wa Kiislamu, tuungane kukabiliana na uchokozi wake
Aug 07, 2023 08:34Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria na kusababisha vifo vya askari wanne wa nchi hiyo na kusisitiza kuwa, umma wote wa Kiislamu unapaswa kuungana pamoja kukabiliana na utawala huo dhalimu.
-
Ripoti: Wapalestina zaidi ya 200 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu
Aug 02, 2023 23:16Vikosi vya usalama vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimewaua shahidi Wapalestina zaidi ya 200 tangu kuanza mwaka huu 2023.
-
Wazayuni wauvunjia heshima tena Msikiti wa al-Aqsa
Aug 02, 2023 07:10Katika hatua ambayo imekuwa ni ya kawaida katika miezi ya hivi karibuni, Wazayuni kwa mara nyingine tena wameingia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa kwa uungaji mkono wa jeshi la utawala ghasibu wa Isreal.
-
Wanajeshi Wazayuni: Netanyahu anaiteketeza kwa moto Israel
Jul 29, 2023 07:14Wanajeshi 1,300 wa utawala wa Kizayuni wamemshambulia vikali Benjamin Netanyahu na kusema kuwa waziri mkuu huyo wa Israel yuko tayari utawala wote wa Kizayuni uteketee kwa moto ili yeye binafsi aokoke.
-
Hamas: Utawala wa Kizayuni wa Israel unataka kuibua vita vya kidini
Jul 29, 2023 04:27Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu amesema kuwa mashambulizi ya Wazayuni katika Msikiti wa al Aqsa kwa mara nyingine tena yameonyesha namna adui alivyokusudia kutangaza vita vya kidini dhidi ya al Aqsa.
-
Nafasi ya utawala wa Kizayuni katika kueneza chuki dhidi ya Uislamu katika nchi za Magharibi
Jul 27, 2023 22:55Tangu kuasisiwa kwake, utawala ghasibu wa Kizayuni sambamba na kupora ardhi za Wapalestina, umefanya jinai zisizohesabika dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina, pamoja na kuchochea vita na ukosefu wa amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi.