Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Raisi asisitizia mitazamo ya pamoja ya nchi za Kiislamu kukabiliana na jinai za utawala ghasibu wa Israel

    Raisi asisitizia mitazamo ya pamoja ya nchi za Kiislamu kukabiliana na jinai za utawala ghasibu wa Israel

    Apr 08, 2023 00:21

    Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kuweko mitazamo zaidi ya pamoja baina ya mataifa ya Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na jinai za hivi karibuni za utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina.

  • Mufti wa Oman asisitiza udharura wa kuungwa mkono Wapalestina ili kuzuia hujuma za Wazayuni

    Mufti wa Oman asisitiza udharura wa kuungwa mkono Wapalestina ili kuzuia hujuma za Wazayuni

    Apr 06, 2023 22:51

    Mufti wa Oman ametoa amepinga vikali hujuma zinazoendelea kufanywa na Wazayuni dhidi ya raia wa Palestina katika Msikiti Mtukufu wa al Aqsa na ametaoa wito wa kuungwa mkono Palestina.

  • Palestina: Hatutakubali msikiti wa Al-Aqsa ugawanywe kimatumizi kwa wakati na eneo

    Palestina: Hatutakubali msikiti wa Al-Aqsa ugawanywe kimatumizi kwa wakati na eneo

    Apr 06, 2023 03:55

    Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema: Hatutakubali msikiti wa Al-Aqsa ugawanywe kimatumizi kwa sura ya muda maalumu wa utumiaji na sehemu maalumu ya kutumia jambo ambalo wavamizi na walowezi wa Kizayuni wanapigania kulilazimisha liwe.

  • Kulalamikia Chama cha Tahreek-e-Insaf uhusiano wa kibiashara wa Pakistan na utawala haramu wa Israel

    Kulalamikia Chama cha Tahreek-e-Insaf uhusiano wa kibiashara wa Pakistan na utawala haramu wa Israel

    Apr 03, 2023 22:40

    Chama cha Tahreek-e-Insaf cha Pakistan kimelalamikia kuweko uhusiano wa biashara ya bidhaa za chakula baina ya nchi hiyo na utawala haramu wa Israel na kimeitaka Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya nchi hiyo kutoa maelezo kuhusiana na suala hilo.

  • Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Ombi la watu wa Morocco la kufutwa uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Apr 02, 2023 23:53

    Kwa mnasaba wa Machi 30, Siku ya Ardhi ya Palestina, idadi kubwa ya raia wa Morocco walijumuika katika mji mkuu, Rabat na kushiriki katika maandamano ya kupinga utawala wa Kizayuni wa Israel, ambapo kwa mara nyingine wametaka kufutwa kwa mapatano ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya serikali yao na utawala huo dhalimu.

  • IRGC yasisitiza: Jinai ulizofanya utawala wa Kizayuni katu hazitaachwa bila kujibiwa

    IRGC yasisitiza: Jinai ulizofanya utawala wa Kizayuni katu hazitaachwa bila kujibiwa

    Apr 02, 2023 07:22

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limesisitiza kuwa: bila ya shaka yoyote jinai za utawala bandia na mtenda jinai wa Kizayuni hazitaachwa bila kujibiwa; na utawala huo haramu utalipa gharama za jinai zake.

  • Shujaa wa Iran aunga mkono uamuzi wa serikali ya Indonesia wa kuzuia timu ya Israel kuingia mjini Jakarta

    Shujaa wa Iran aunga mkono uamuzi wa serikali ya Indonesia wa kuzuia timu ya Israel kuingia mjini Jakarta

    Apr 02, 2023 04:25

    Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Para-Asia 2018 mjini Jakarta ametoa medali yake kwa watu wa Indonesia ili kuunga mkono hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuzuia timu ya soka ya Israel kuingia mjini Jakarta.

  • Hamas: Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hazitapita bila jibu

    Hamas: Jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel hazitapita bila jibu

    Apr 02, 2023 04:24

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani mauaji yanayofanywa na askari wa utawala haramu wa Israel dhidi ya vijana wa Kipalestina katika Msikiti wa Al-Aqsa na kutangaza kuwa uhalifu huo hautapita bila kujibiwa.

  • Hamas yalaani kuwepo baadhi ya wanasiasa wa Kiarabu katika mkutano wa mapatano na Wazayuni

    Hamas yalaani kuwepo baadhi ya wanasiasa wa Kiarabu katika mkutano wa mapatano na Wazayuni

    Apr 01, 2023 23:35

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina "HAMAS" imelaani vikali kuwepo kwa shakhsia wa Kiarabu na Kiafrika katika mkutano wa kuhalalisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kutoa wito wa kulaaniwa kitendo hicho sambamba na kutambuliwa kuwa ni kosa la jinai.

  • Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu

    Amnesty International yakosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi katika uwanja wa haki za binadamu

    Mar 29, 2023 06:50

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali misimamo ya undumakuwili na ya kinafiki ya nchi za Magharibi katika kushughulikia ukiukwaji wa haki za binadamu katika nchi zinazopinga sera za nchi za Magharibi na kulegeza msimamo laini wa nchi hizo kwa baadhi ya washirika wao ukiwemo utawala wa Kizayuni wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS