-
Je, upo uwezekano wa kutokea vita kati ya Uturuki na utawala wa Kizayuni?
Sep 20, 2025 09:49Mashambulizi ya utawala wa Israel dhidi ya Qatar yamezidisha mivutano kati ya Uturuki na Israel na kuibua uwezekano wa kutokea makabiliano ya moja kwa moja kati ya Ankara na Tel Aviv.
-
Waziri wa Israel: Upo uwezekano wa kuwaua viongozi wa HAMAS walioko Uturuki
Sep 14, 2025 10:48Waziri wa Nishati wa utawala wa kizayuni wa Israel, Eli Cohen ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri la Usalama na Kisiasa, amesema, upo uwezekano wa kuwaua kigaidi viongozi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS walioko Istanbul, Uturuki, na amedai pia katika mahojiano aliyofanyiwa jana Jumamosi na tovuti ya Saudi Elaf kwamba "mtu yeyote anayehusishwa na Hamas hawezi kulala kwa amani popote duniani."
-
Hamas yaipongeza Uturuki kwa kufunga anga yake kwa ndege za Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza
Aug 30, 2025 12:46Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepongeza uamuzi wa Uturuki wa kufunga anga yake kwa ndege za Israel na kukata mahusiano yote ya kibiashara na Tel Aviv.
-
Sasa Uturuki yakata mahusiano yote ya kibiashara na Israel, yafunga anga, bandari kwa sababu ya Ghaza
Aug 30, 2025 05:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki Hakan Fidan ametangaza kuwa nchi hiyo inafunga anga na bandari zake kwa ndege na meli za utawala wa kizayuni wa Israel, na kukata kikamilifu mahusiano yote ya kiuchumi na kibiashara na utawala huo kutokana na vita vyake vya mauaji ya kimbari unavyoendeleza huko Ghaza, Palestina.
-
UN: Janga la njaa la Ghaza ni matokeo ya kucheleweshwa upelekaji misaada kwa miezi 22
Aug 28, 2025 06:07Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na uratibu wa masuala ya kibinadamu ametangaza kuwa baa la njaa lililothibitishwa rasmi katika Ukanda wa Ghaza ni matokeo ya kucheleweshwa kwa miezi 22 upelekaji misaada ya kibinadamu katika eneo hilo la Palestina lililowekewa mzingiro na Israel.
-
Nini uchambuzi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki kuhusu lengo la utawala wa Kizayuni huko Gaza?
Jul 27, 2025 10:17Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametahadharisha kuhusu nia ya utawala wa Kizayuni ya kuwaondoa wakaazi wa Gaza kutoka katika ukanda huo.
-
Iran, Uturuki: Ulimwengu wa Kiislamu uchukue hatua dhidi ya mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel Ghaza
Jul 22, 2025 11:06Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Uturuki wametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu duniani kuchukua hatua kali za kusaidia kukomesha vita vya miezi 21 vya mauaji ya kimbari vinavyoendelezwa na utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Jumapili, 20 Julai, 2025
Jul 20, 2025 02:35Leo ni Jumapili 24 Mfunguo Nne Muharram 1447 Hijria ambayo inasadifiana na 20 Julai 2025.
-
Kiongozi mkuu wa PKK, Abdullah Ocalan: Hatudai tena uhuru wa Kurdistan
Jul 10, 2025 12:45Abdullah Ocalan, Kiongozi aliyefungwa gerezani wa Chama cha Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) amewahutubia wafuasi wake kupitia ujumbe wa video kwa mara ya kwanza baada ya miongo kadhaa akiwaambia kwamba mapambano ya silaha dhidi ya Uturuki yamekwisha na kwamba sasa ni wakati wa kuhamia kwenye siasa za kidemokrasia.
-
Kundi la PKK lavunjwa katika juhudi za kufikia amani na Uturuki
May 12, 2025 11:11Kundi la wapiganaji wa Kikurdi (PKK) ambalo limekuwa katika mapigano ya silaha na Uturuki kwa zaidi ya miongo minne, limetangaza kuvunjwa kwake na kumalizika kwa mapambano yake ya silaha.