-
Ubalozi ya Marekani nchini Uturuki wahujumiwa, mgogoro wa nchi mbili watokota
Aug 20, 2018 22:14Ubalozi ya Marekani nchini Uturuki umeshambuliwa na watu wasiojulikana ambapo hakukuwa na mtu aliyefiriki au kujeruhiwa huku mgogoro baina ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota.
-
Erdogan: Marekani imeanzisha jaribio la mapinduzi ya kiuchumi dhidi ya Uturuki
Aug 19, 2018 02:42Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema nchi yake haitasalimu amri mbele ya vikwazo ambavyo Marekani imeiwekea nchi yake kutokana na kushikiliwa mhubiri Mkristo wa Kimarekani. Erdogan ameituhumu Marekani kuwa inatekeleza jaribio la mapinduzi ya kiuchumi dhidi ya nchi yake.
-
Mgogoro wa Marekani na Uturuki waendelea
Aug 17, 2018 23:46Katika kuendelea mzozo kati ya Washington na Ankara, Rais Donald Trump wa Marekani amemtaja, Andrew Brunson, padri wa Kimarekani anayeshikiliwa nchini Uturuki kwa tuhuma za ujasusi, kuwa ni mateka.
-
Onyo la Uturuki kwa Marekani kufuatia hatua ya Washington kuzipandishia ushuru wa forodha bidhaa za Uturuki
Aug 12, 2018 07:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imetoa taarifa ikisisitiza kuchukua hatua za ulipizaji kisasi kufuatia kitendo cha Marekani cha kuzipandishia ushuru wa forodha bidhaa za chuma na aluminiamu za nchi hiyo.
-
Rais Tayyip Erdoğan awataka Waturuki kuisaidia serikali katika vita vya kiuchumi vya Marekani kwa nchi yao
Aug 10, 2018 23:44Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki kwa mara nyingine amewataka raia wa nchi hiyo kushiriki katika vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa na Marekani dhidi ya taifa hilo.
-
Kushadidi tofauti kati ya Marekani na Uturuki kufuatia kushikiliwa padri wa Kimarekani
Aug 05, 2018 07:12Katika hatua ya kwanza kuchukuliwa na Marekani baada ya vitisho vya hivi karibuni vya Rais wa nchi hiyo Donald Trump dhidi ya Uturuki, White House imetangaza kuwawekea vikwazo mawaziri wawili wa Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.
-
Katika kulipiza kisasi kwa Marekani; Erdogan asema Uturuki itazuia mali za mawaziri 2 wa nchi hiyo
Aug 04, 2018 10:33Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa Ankara itazuia mali zilizoko Uturuki za Mawaziri wa Sheria na Mambo ya Ndani wa Marekani ikiwa ni katika kulipiza kisasi vikwazo vya Washington dhidi ya nchi yake kufuatia kutiwa mbaroni mchungaji mmoja wa Kimarekani nchini Marekani.
-
Rais wa Uturuki atoa wito kwa BRICS kuongeza herufi T katika jina la kundi hilo
Jul 30, 2018 09:52Uturuki imetangaza hamu yake ya kujiunga na kundi la BRICS linaloundwa na nchi zinazoinukia kiuchumi na ameiomba BRICS kuiruhusu nchi yake kujiunga na kundi hilo.
-
Uturuki na Marekani zaendelea kutishiana
Jul 29, 2018 09:29Serikali ya Uturuki imeitisha Marekani kwamba, iwapo Rais Donald Trump wa nchi hiyo hatoikabidhi Ankara ndege mpya za F 35, basi itaiburuza Washington katika mahakama za kimataifa.
-
Wanafunzi wa Kiafrika wanaotuhumiwa kwa ugaidi wakamatwa Uturuki
Jul 01, 2018 22:07Makumi ya wanafunzi wa Kiafrika hususan raia wa Somalia wamekamatwa nchini Uturuki, wakihusishwa na Shirika la Kigaidi la Fathullah FETO, linalodaiwa kuratibu na kutekeleza jaribio la mapinduzi lililofeli la mwaka 2016.