-
Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki: Tutaendelea kuwa pamoja na Qatar
Jun 25, 2017 11:15Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki sambamba na kuunga mkono msimamo wa Qatar kuhusu matakwa ya baadhi ya nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi amesema kuwa, nchi yake itaendelea kuwa pamoja na Doha.
-
Serikali ya Uturuki yawapiga kalamu nyekundu walimu elfu 33 kwa tuhuma za kisiasa
Jun 24, 2017 23:00Serikali ya Uturuki imeendelea kuchukua hatua za kushangaza kwa kuwapiga kalamu nyekundu wafanyakazi mbalimbali wa serikali kwa tuhuma za kisiasa.
-
Radiamali ya Uturuki kwa ombi la Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi
Jun 24, 2017 06:15Serikali ya Ankara imeonyesha radiamali hasi kwa misimamo ya nchi wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi dhidi ya kuwepo wanajeshi wa Uturuki huko Qatar.
-
Kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki lawasili nchini Qatar
Jun 19, 2017 03:30Serikali ya Qatar imetangaza kuwa kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki limewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Doha katika utekelezaji wa makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa baina ya nchi mbili.
-
Mgogoro wa Qatar wachukua sura mpya, Misri yataka Uturuki iwekewe vikwazo
Jun 17, 2017 11:06Mgogoro ulioanzishwa na Saudi Arabia dhidi ya Qatar umechukua sura mpya baada ya mtandao mmoja wa habari wa nchini Uingereza kuandika kuwa, rais wa Misri ametaka Uturuki iwekewe vikwazo kutokana na kuiunga mkono Qatar.
-
Ripoti: Imarati ilitoa dola bilioni 3 kufadhili mapinduzi ya kijeshi Uturuki
Jun 13, 2017 23:48Gazeti moja la kila siku la Uturuki limeandika kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulitoa kitita cha dola bilioni 3 za Marekani kwa ajili ya kufadhili jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililofeli mwezi Julai mwaka jana 2016 nchini Uturuki.
-
Saudia yamuhusisha Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki na ugaidi
Jun 11, 2017 22:49Katika kuendelea mgogoro wa nchi za Kiarabu hususan Saudia na Qatar, kanali ya al-Arabiyah ya nchini Saudia imetoa picha ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki inayorudi nyuma hadi mwaka 1985, ambapo katika picha hiyo, Erdoğan anaonekana akiwa amenyenyekea mbele ya kiongozi wa chama cha Kiislamu cha 'Gulbuddin Hekmatyar' aliyekuwa akitawala nchini Afghanistan wakati huo.
-
Uturuki: Mfalme Salman wa Saudia ni mtu hatari sana kwa kueneza fitna
Jun 08, 2017 10:51Gazeti la Uturuki la Yeni Akit limemtaja Mfalme Salman bin Abdulaziz Aal Saud wa Saudia kuwa ni mtu hatari sana kwa kueneza fitina baina ya nchi za Kiislamu.
-
Uturuki kuendelea kulisaidia genge la kigaidi la Jab'hatu Nusra
May 31, 2017 23:52Serikali ya Uturuki imelipa matumaini kundi la kigaidi na ukufurishaji la Jab'hatu Nusra linalotekeleza mauaji na jinai nchini Syria kuwa, itaendelea kuliunga mkono na kulisaidia kwa hali na mali.
-
Uturuki yafanyia jaribio kombora lake la kwanza la balistiki
May 12, 2017 02:19Uturuki imefanyia majaribio kombora lake la kwanza la balisitiki karibu na pwani ya Bahari Nyeusi.