-
Jumamosi, Aprili 29, 2017
Apr 28, 2017 21:59Leo ni Jumamosi tarehe Pili Shaaban 1438 Hijria sawa na tarehe 29 Aprili 2017 Miladia.
-
Radiamali ya Iraq juu ya uingiliaji wa Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo
Apr 09, 2017 08:53Serikali ya Iraq sambamba na kukosoa matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki juu ya kuendelea shughuli za askari wa nchi hiyo ndani ya ardhi ya Iraq kwa kisingizio cha kupambana na ugaidi imesema kuwa Baghdad haijatoa idhini kwa upande wowote kufanya shughuli za kijeshi nchini humo.
-
Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono
Apr 07, 2017 02:09Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuushambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria, kwa kisingizio cha 'kuiadhibu' Syria kwa shambulio la silaha za kemikali inayodai lilifanywa na serikali ya Damascus katika mji wa Khan Sheikhoun.
-
Kufichuliwa hatua za kijasusi za Uturuki nchini Ujerumani
Apr 06, 2017 22:03Vyombo vya habari vya Ujerumani vimeripoti kuwa serikali ya nchi hiyo inawachunguza washukiwa ishirini wa Uturuki wanaotuhumiwa kufanya ujasusi na vitendo vilivyo nyuma ya pazia kwa maslahi ya serikali ya Uturuki.
-
CHP: Jaribio la Mapinduzi Uturuki lilikuwa bandia na lilipangwa na maafisa wa serikali
Apr 04, 2017 04:07Chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki kimetangaza kuwa, chama tawala cha Uadilifu na Ustawi kilikuwa na habari kuhusu jaribio la mapinduzi lililofanyika mwaka jana dhidi ya serikali ya nchi hiyo na kwamba mapinduzi hayo bandia yalifanyika kwa shabaha ya kutumiwa dhidi ya wapinzani wa Rais wa nchi hiyo, Recep Tayyip Erdoğan.
-
Libya: Uturuki ndio inayounga mkono makundi ya kigaidi yanayofanya jinai Libya
Mar 19, 2017 23:32Msemaji wa wapiganaji wa serikali yenye makao yake huko mashariki mwa Libya ameiarifisha rasmi Uturuki kuwa ndio muungaji mkono mkubwa wa makundi ya kigaidi nchini humo.
-
Fethullah Gülen: Erdoğan ni mnafiki asiyefaa kuaminiwa hata kidogo
Mar 16, 2017 00:40Kiongozi wa harakati ya Jama'at Gülen ambaye pia ni mpinzani wa serikali ya Uturuki, amemtumia barua kiongozi wa eneo la Kurdistan nchini Iraq, Masoud Barzani, akimuonya vikali juu ya tabia yake ya kumwamini sana Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki.
-
Jaberi Ansari: Mazungumzo ya Astana kuhusu Syria yanaendelea kupiga hatua
Mar 14, 2017 22:58Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria amesema mazungumzo hayo yanaendelea kupiga hatua.
-
Uturuki yaituhumu Ujerumani kuwa inaunga mkono ugaidi
Mar 04, 2017 03:40Katika kile kinachoonekana ni kuzidi kuingia doa uhusiano wa Ankara na Berlin, Rais wa Uturuki ameituhumu Ujerumani kuwa inaunga mkono ugaidi.
-
Marais Rouhani na Erdogan wazungumzia uhusiano wa Iran na Uturuki
Mar 01, 2017 12:04Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki wamekutana na kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbali mbali likiwemo la umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili.