-
Sababu za kuongezeka hukumu za kifo nchini Saudi Arabia baada ya Bin Salman kuingia madarakani
Feb 03, 2023 03:06Shirika la Haki za Binadamu la Ulaya-Saudia, limetangaza katika ripoti ya karibuni kwamba hukumu za kifo au unyongaji wakati wa utawala wa mrithi wa kiti cha ufalme Mohammed bin Salman nchini Saudi Arabia zinaongezeka karibu mara mbili kila mwaka.
-
Wanaharakati wanawake 35 wa Saudia wahukumiwa kifungo cha miaka 11 jela
Jan 06, 2023 02:22Vyanzo vya mashirika ya kutetea haki za binadamu vimeripoti kuwa wanaharakati wanawake 35 wa Saudi Arabia wamehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela na utawala wa Al-Saud.
-
Ripoti: Mwaka 2022 umeshuhudia jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia
Dec 30, 2022 11:44Mwaka huu unaomalizika wa 2022 unaelezwa kuwa, umeshuhudia ukiukaji wa haki za binadamu na jinai kubwa zaidi katika historia ya Saudi Arabia.
-
Wimbi jipya la mauaji ya wasomi na wanaharakati laripotiwa Saudia
Dec 03, 2022 08:22Wimbi jipya la kunyongwa na kuuliwa wasomi na wanaharakati wa masuala ya kijamii limeripotiwa nchini Saudi Arabia baada ya utawala wa kifalme wa nchi hiyo kumtia nguvuni mwanazuoni wa Kiislamu katika mji mtakatifu wa Madina.
-
"Shoka la Ibrahim" lafichua nyaraka za siri za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia
Nov 12, 2022 08:11Kikundi cha mtandao kimechapisha maelfu ya hati na nyaraka za siri za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Saudia.
-
Kukosoa asasi za haki za binadamu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Saudi Arabia
Oct 14, 2022 02:34Asasi moja ya haki za binadamu imetoa ripoti ya kutisha inayoeleza hali mbaya ya haki za binadamu nchini Saudi Arabia na matukio kadhaa ya vitendo vya mateso ya kimwili na kiroho dhidi ya wanaharakati na wapinzani wakiwemo wale waliohukumiwa kunyongwa.
-
Bahrain yajiondoa kwenye uchaguzi wa taasisi ya UN kufuatia ukosoaji
Oct 06, 2022 03:20Bahrain imelazimika kujiondoa kwenye uchaguzi ujao wa kuwasaka wanachama wapya wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), kufuatia jitihada na lalama za asasi za kutetea haki za binadamu juu ya rekodi nyeusi ya serikali ya Manama.
-
Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza
Sep 18, 2022 08:06Makumi ya watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London, kulaani safari ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Uingereza.
-
Mwanamke Saudia afungwa jela miaka 34 kwa ujumbe wa Twitter
Aug 17, 2022 12:10Saudi Arabia imemhukumu mwanamke mmoja kifungo cha miaka 34 jela, eti kwa kupatikana na hatia ya kumiliki ukurasa wa Twitter na kusambaza ujumbe unaoukosoa utawala wa Aal-Saud kupitia mtandao huo wa kijamii.
-
Iran yalaani ukiukwaji mpya wa haki za binadamu uliogundulika Marekani
May 15, 2022 11:01Kazem Gharibabadi, Katibu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa taarifa baada ya uchunguzi kubaini vifo vya zaidi ya watoto 500 wa jamii za asili za Marekani katika shule za bweni za kanisa, zilizofadhiliwa na serikali na kusema: "Pamoja na kuwepo ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu huko Marekani nchi hiyo inajipa jukumu la kuwapa wengine nasaha kuhusu haki za binadamu."