Jan 22, 2020 07:22
Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, nchi yenye utajiri wa mafuta ya Venezuela imekuwa ikikabiliwa na mgogoro wa ndani wa kisiasa. Juan Guaido, kinara wa upinzani nchini Venezuela, Januari 23 mwaka jana alijitangaza kuwa Rais wa nchi hiyo.