-
Sisitizo la Venezuela la kutaka Umoja wa Ulaya uachane na fikra za kikoloni
Mar 25, 2021 22:25Siasa za uingiliaji mambo za Marekani za washirika wake wa Magharibi zingali zinaendelea katika akthari ya nchi za Amerika ya Latini.
-
Kuasisiwa muungano mpya wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na siasa na hatua za upande mmoja
Mar 13, 2021 07:56Hatua na misimamo ya upande mmoja na kupuuzwa taasisi za kimataifa khususan Umoja wa Mataifa katika kipindi cha utawala wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump vimepelekea kudhoofika umoja huo na hati ya Umoja wa Mataifa.
-
Sisitizo la kusimama kidete Venezuela mbele ya vita vya kiuchumi vya Marekani na Ulaya
Feb 26, 2021 08:34Kutokana na kuendelea sera za vikwazo za Marekani na madola ya Ulaya, dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo amesisitiza kuwa, nchi yake itaendelea kusimama kidete mkabala wa sera hizo ambazo amesema kuwa ni “vita vya kiuchumi vya pande kadhaa”.
-
Caracas yajibu vikwazo vya Marekani na waitifaki wake dhidi ya Venezuela
Feb 23, 2021 09:40Viongozi wa Caracas wamelaani "vita vya kiuchumi vya pande kadhaa" za Umoja wa Ulaya na Marekani dhidi ya Venezuela.
-
Shambulio la kigaidi katika Shirika la Mafuta la Venezuela
Jan 24, 2021 04:43Rais wa Venezuela ametangaza kuwa, shambulio la kigaidi limejiri katika bomba la mafuta la shirika la mafuta na gesi la serikali la Petroleus de Venezuela na kulaani shambulio hilo ambalo limesababisha moto mkubwa.
-
Maduro; Venezuela imemshinda Trump
Jan 21, 2021 08:09Rais wa Venezuela amekutaja kuondoka huko White House Rais wa zamani wa Marekani kuwa ushindi kwa nchi yake.
-
Mwangwi wa kubwagwa Trump, wapinzani wa Venezuela wapata pigo jipya
Jan 08, 2021 03:34Baada ya Donald Trump kubwagwa katika uchaguzi wa rais wa Novemba 3, 2020 huko Marekani, sasa wafuasi, mashabiki na vibaraka wake wa nje, nao wameanza kuonja makali ya kuwa vibaraka wa Marekani.
-
Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran
Jan 03, 2021 03:06Katika kuanza mwaka mpya wa 2021 Miladia Rais wa Venezuela akiashiria suala la kuilinda ardhi ya nchi hiyo amesisitiza kuwa ataimarisha uhusiano na Iran, Russia, China, Cuba, Uturuki na India.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 20, 2020 07:59Licha ya kufeli kwa sera za vikwazo za Marekani dhidi ya Venezuela, lakini viongozi wa Washington wangali wamekumbatia siasa hizo za mashinikizo na kuendelea kutekeleza siasa hizo zilizoshindwa na kugonga ukuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerka ya Latini.
-
Sisitizo la Venezuela la kuimarisha uhusiano wa kistratijia na Iran
Nov 26, 2020 22:57Katika miezi michache iliyopita ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela umekuwa ukiimarika katika nyanja tofauti.