-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela asisitiza kuimarishwa uhusiano wa kistratejia na Iran
Nov 26, 2020 01:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitiza kuwa serikali za sasa za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela zimeandaa nyanja za kupanua na kuimarisha uhusiano wao na kwamba nchi yake ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano wa kistratejia na Iran.
-
Maduro: Guaido naye amembwaga Trump
Nov 09, 2020 08:31Rais wa Venezuela amesema kuwa katika kipindi cha miaka miwili ilimpatia serikali ya Donald Trump mwanasiasa aliyejitangaza kuwa rais wa Venezuela kiasi cha dola milioni 800 lakini hatimaye mwanasiasa huyo, Juan Guaido, pia amemsalitia Trump.
-
Uchaguzi wa rais wa 2020; nembo ya demokrasia bandia ya Marekani
Nov 07, 2020 06:44Kama ilivyokuwa imetabiriwa awali, uchaguzi wa mwaka huu wa rais wa Marekani ambao ulifanyika tarehe 3 mwezi huu wa Novemba umekuwa moja ya chaguzi zenye utata mkubwa zaidi katika historia ya nchi hiyo, uchaguzi ambao taathriza zake bila shaka zitabakia kwa muda mrefu katika uwanja wa siasa za nchi hiyo.
-
Zarif: Ziara yangu Venezuela imekuwa na mafanikio makubwa
Nov 06, 2020 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter kuhusu ziara yake nchini Venezuela akiashiria jinsi ziara yake hiyo ilivyofanyika kwa ufanisi mkubwa.
-
Ushindi mwingine wa Maduro baada ya Mahakama ya Rufaa ya Uingereza kutoa hukumu kwa maslahi ya Venezuela
Oct 07, 2020 04:20Tangu kuanza mgogoro wa uchaguzi nchini Venezuela, Umoja wa Ulaya na nchi kubwa za Ulaya zimechukua msimamo sawa na wa Marekani dhidi ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela. Baada ya kinara wa wapianzani, Juan Guaido kushindwa katika uchaguzi na kisha kujitangaza rais mnamo Januari 23, 2029, nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza, zimekuwa zikimuunga mkono kiongozi huyo wa upinzani.
-
Kuwasili shehena mpya ya nishati ya mafuta ya Iran nchini Venezuela
Sep 29, 2020 23:11Licha ya vizingiti, ukwamishaji mambo na mashinikizo ya Marekani, shehena ya pili ya nishati ya mafuta ya Iran imewasili nchini Venezuela.
-
Maduro: Iran na Venezuela zina haki ya kuainisha mustakbali wao
Sep 29, 2020 08:58Rais wa venezuela ameashiria vikwazo vya upande mmoja vya Marekani na kusisitiza kuwa nchi kama Iran na Venezuela zina haki ya kuainisha mustakbali wao katika suala la amani na uthabiti.
-
Rais Maduro: Marekani inashirikiana na magenge ya madawa ya kulevya ya Colombia dhidi ya Venezuela
Sep 25, 2020 07:44Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa, Idara ya Kupambana na Madawa ya Kulevya ya Marekani inashirikiana na walanguzi wa madawa ya kulevya wa nchini Colombia kwa ajili ya kutoa pigo dhidi ya serikali ya Caracas.
-
Venezuela yaunda kikosi maalumu cha makomando kukabiliana na chokochoko za Marekani
Sep 23, 2020 23:12Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameukosoa vikali ujambazi na umafia unaofanywa na serikali ya Marekani dhidi ya nchi yake na ametangaza habari ya kuundwa kikosi maalumu cha makomando cha kupambana na vitendo vya kiharibifu vya Marekani.
-
Kuendelea ushirikiano baina ya Iran na Venezuela na shukrani za Maduro kwa Tehran
Aug 24, 2020 22:58Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake kwa nchi hiyo katika kukabiliana na vikwazo vya mafuta vya Marekani dhidi ya Venezuela na kusisitiza kuwa, uzoefu wa Iran utaweza kuisaidia nchi yake kutia nguvu uwezo wake wake wa kujitawala.