-
Takwa rasmi la Venezuela kwa Mahkama ya Jinai ICC kwa ajili ya kuchunguzwa jinai za Marekani
Feb 15, 2020 04:20Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump Marekani imefanya jitihada nyingi za kutaka kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolás Maduro na badala yake kuiingiza madarakani serikali kibaraka itakayoongozwa na Juan Guaidó.
-
Raia wa Venezuela watangaza mshikamano wao na Wairani kupinga ubeberu wa Marekani
Jan 26, 2020 12:44Wawakilishi wa Harakati za Kijamii na Kisiasa nchini Venezuela pamoja na kamati za kisiasa kote duniani, wametangaza mshikamano wao na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kulinda amani mkabala wa vitisho vya Marekani, kupitia maandamano ya amani yaliyofanyika Jumamosi ya Jana.
-
Sisitizo la Marekani la kumuunga mkono zaidi Juan Guaido; mwendelezo wa siasa zilizofeli za Washington
Jan 22, 2020 03:52Katika kipindi cha mwaka mmoja uliopita, nchi yenye utajiri wa mafuta ya Venezuela imekuwa ikikabiliwa na mgogoro wa ndani wa kisiasa. Juan Guaido, kinara wa upinzani nchini Venezuela, Januari 23 mwaka jana alijitangaza kuwa Rais wa nchi hiyo.
-
Venezuela; imesimama imara mbele ya vikwazo na iko tayari kufanya mazungumzo na wapinzani
Jan 20, 2020 09:27Licha ya kuendelea siasa za uhasama za Marekani na kutekelezwa vikwazo tofauti dhidi ya Venezuela, Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo ameweza kudhibiti mgogoro wa kisiasa na kiuchumi wa ndani na kurejesha usalama nchini.
-
Venezuela yaionya Marekani iache kuendeleza uhasama wake dhidi ya eneo la Amerika ya Latini
Jan 18, 2020 23:26Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imeitahadharisha Marekani kutokana na tabia zake za kuendeleza mzingiro dhidi ya eneo la Amerika ya Latini na ukanda wa Karibiani.
-
Venezuela yaionya Marekani iache kuendeleza uhasama wake dhidi ya eneo la Amerika ya Latini
Jan 18, 2020 12:59Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imeitahadharisha Marekani kutokana na tabia zake za kuendeleza mzingiro dhidi ya eneo la Amerika ya Latini na ukanda wa Karibiani.
-
Sisitizo la Maduro kuhusu uungaji mkono wa Marekani kwa magaidi na makundi yenye kuchupa mipaka ndani ya Venezuela
Jan 16, 2020 08:41Katika kipindi cha uongozi wa Rais Doland Trump, Marekani imehusika na njama nyingi za kuiondoa madarakani serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela na Rais wake Nicolás Maduro ili kumweka madarakani kibaraka wa Washington na kiongozi wa upinzani nchini humo Juan Guaidó; na inatumia kila wenzo kwa ajili ya kufikia lengo hilo.
-
Venezuela yaionya Marekani na kuitaka iache kuingilia masuala yake ya ndani
Jan 11, 2020 09:03Serikali ya Venezuela imeionya Marekani na kuitaka iache mchezo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Caracas.
-
Kuendelea mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela; kuwekewa Caracas vikwazo vipya
Dec 05, 2019 03:43Serikali ya Marekani imeendeleza mashinikizo yake dhidi ya Venezuela ambapo imeiwekea nchi hiyo vikwazo vipya katika sekta ya viwanda na biashara ya mafuta.
-
Trump alishauriana na Michel Temer kuivamia kijeshi Venezuela
Nov 28, 2019 06:55Rais wa zamani wa Brazil, Michel Temer, amesema kuwa, Rais wa Marekani alimuuliza kuhusu namna ya kuishambulia Venezuela.