-
Simba mlipiza kisasi, maisha ya mkufunzi yangelimalizika kama...
Jun 01, 2016 13:38Simba mwenye kisasi cha muda mrefu aamua kumalizia hasira zake kwa mkufunzi wake. Cha ajabu ni kuwa simba jike anaingilia kati kumpoza simba dume, lakini haisaidii kitu. Zaidi ni kuwa simba huyo hamshambulii mkufunzi mwingine, isipokuwa yule yule tu aliye na kisasi naye...
-
Mwanamke aanguka kwenye moto na kuungua wakati wa ibada India
Jun 01, 2016 13:32Mwanamke mmoja aliyekuwa katika ibada ya kupita juu ya moto nchini India aanguka katikati ya makaa ya moto na kuanza kuungua
-
Mbwa anavyomuokoa paka mlevi
Jun 01, 2016 13:11Baadhi ya wakati mnyama anaweza kuvunzwa akaelewa kuliko hata baadhi ya wanadamu. Kipande hiki cha video kinaonesha namna mbwa alivyotekeleza vizuri amri za bwana wake na kumuokoa paka mlevi na kumrejesha nyumbani kwa mbinu ya ajabu...
-
Inaposemwa ajali haina kinga ni kama hivi...
Jun 01, 2016 13:03Hawakukosea Waswahili waliposema ajali haina kinga. Tab'an makusudio ya methali hiyo ni katika ajali kama hii...
-
Sokwe ateka mtoto na kuzua kizaazaa
May 31, 2016 13:25Mtoto atumbukia kwenye eneo la sokwe mtu, sokwe anaamua kumteka na matokeo yake...
-
Ukosefu wa umakini ulivyosababisha ajali mbaya kazini
May 31, 2016 13:19Baadhi ya wakati hata uzoefu unapokosa umakini husababisha maafa kama kinavyoonesha kipande hiki cha video
-
Elimu inavyopatikana kwa shida
May 29, 2016 09:18Kutafuta elimu, kama kwa baadhi ya watu ni rahisi, kwa watoto hawa wa nchini China si jambo jepesi hata kidogo. Kila siku wanalazimika kupita kwenye njia hizi za hatari na kupanga ngazi zilizojaa hatari ndipo wafike shuleni. Cha ajabu ni kwamba hata wanyama nao wamejifunza kupanda ngazi hizo.
-
Askari Marekani alivyokoka baada ya kuangukiwa na mti mkubwa
May 29, 2016 09:14Mwanadamu si mjuzi wa jambo litakalomtokea sekunde chache baadaye. Askari huyu wa nchini Marekani angelijua ataangukiwa na mti, angeliakhirisha kazi yake japo kwa dakika chache, lakini...
-
Mpanda pikipiki nusura alaliwe na lori la mchanga China
May 29, 2016 09:11Kama siku zako hazijafika, hufikwi na lolote kama inavyoonesha mpanda pikipiki huyu alivyookoka kwa sekunde chache tu kuelemewa na lori la mchanga nchini Uchina.
-
Mmarekani azima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake
May 29, 2016 09:08Hii ni dunia ya kutafuta umaarufu. Mmarekani aweka rekodi ya kuzima miale 191 ya moto mkali kwa ulimi wake.