-
Zelensky: Kombora lililoua raia 12 Kiev lilikuwa na vifaa vilivyotengezwa na makampuni ya silaha ya Marekani
Apr 27, 2025 02:33Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amedai kuwa vifaa vilivyotengenezwa na makampuni ya Marekani vilipatikana kwenye kombora lililotumiwa kushambulia mji mkuu wa nchi hiyo Kyiv mapema wiki hii na kuua watu 12.
-
Wizara: Iran imezalisha mifumo ya ulinzi zaidi ya 900
Apr 13, 2025 02:21Wizara ya Ulinzi ya Iran imesema sekta ya ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu imeunda zaidi ya mifumo 900 ya ulinzi na zana za kijeshi; hatua inayoashiria ustawi wa kiwango kikubwa ikilinganishwa na kipindi cha kabla ya Mapinduzi ya Kiislamu ya 1979.
-
Licha ya vizuizi vya Israel Wapalestina 180,000 wamesali Msikiti wa Al-Aqsa mkesha wa Lailatul-Qadr
Mar 27, 2025 06:27Waislamu Wapalestina wapatao 180,000 walisali Sala ya Tarawehe katika Msikiti wa Al-Aqsa mjini Baitul-Muqaddas usiku wa kuamkia leo na kujiandaa kwa mkesha wa mwezi 27 Ramadhani unaokadiriwa kwamba unaweza ukawa ni Lailatul-Qadr, licha ya vizuizi vikali walivyowekewa na utawala wa Kizayuni wa Israel vya kuingia msikitini humo.
-
Jeshi la Yemen latekeleza oparesheni tatu za aina yake
May 25, 2024 02:05Msemaji wa jeshi la Yemen ametangaza kuwa jeshi hilo limetekeleza oparesheni tatu za aina yake dhidi ya mei tatu katika fremu ya awamu ya nne ya kushtadi mivutano.
-
Iran yazindua mifumo mipya ya ulinzi ya kukabili makombora
Feb 17, 2024 11:34Jeshi la Iran limezindua mifumo mipya ya kistratijia katika sekta za makombora na ulinzi wa anga.
-
Iran yazindua droni ya 'Mohajir-10' inayoruka kwa saa 24
Aug 23, 2023 02:38Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua ndege isiyo na rubani yenye uwezo wa kuruka kwa saa 24 mfululizo bila kusimama.
-
Baqeri: Madola makubwa ya kijeshi duniani yana hamu ya kupata mafanikio ya kiulinzi ya Iran
Aug 22, 2023 02:36Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa mnasaba wa Siku ya Viwanda vya Zana za Ulinzi vya Iran na kusisitiza kuwa, madola makubwa ya kijeshi duniani yana hamu ya kuwa na mafanikio ya kiulinzi ya Iran.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Iwapo hatua ya kimantiki itachukuliwa, inawezekana kushinda mahesabu ya adui
Apr 16, 2023 11:31Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa iwapo hatua za kimantiki zitachukuliwa, inawezekana kushinda mahesabu ya adui
-
Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui
Sep 01, 2022 11:03Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran ni ya ajabu, yenye kuonyesha nguvu na yenye uwezo wa kumzuia adui huku akisisitiza kuwa: "Vikosi vya kijeshi vya Iran viko tayari kujibu vitisho vya adui."
-
Kamandi Kuu ya Vikosi vya ulinzi vya Iran: Hatua za kila upande zitachukuliwa kukabiliana na hujuma za maadui
Feb 10, 2022 08:20Kamandi Kuu ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa vikosi hivyo vitachukua hatua za kila upande dhidi ya hujuma mchanganyiko za maadui.