Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikosi vya ulinzi

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Iwapo hatua ya kimantiki itachukuliwa, inawezekana kushinda mahesabu ya adui

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Iwapo hatua ya kimantiki itachukuliwa, inawezekana kushinda mahesabu ya adui

    Apr 16, 2023 08:01

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa iwapo hatua za kimantiki zitachukuliwa, inawezekana kushinda mahesabu ya adui

  • Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

    Meja Jenerali Salami: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu vitisho vya maadui

    Sep 01, 2022 06:33

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema mafanikio ya sekta ya ulinzi ya Iran ni ya ajabu, yenye kuonyesha nguvu na yenye uwezo wa kumzuia adui huku akisisitiza kuwa: "Vikosi vya kijeshi vya Iran viko tayari kujibu vitisho vya adui."

  • Kamandi Kuu ya Vikosi vya ulinzi vya Iran: Hatua za kila upande zitachukuliwa kukabiliana na hujuma za maadui

    Kamandi Kuu ya Vikosi vya ulinzi vya Iran: Hatua za kila upande zitachukuliwa kukabiliana na hujuma za maadui

    Feb 10, 2022 04:50

    Kamandi Kuu ya vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa vikosi hivyo vitachukua hatua za kila upande dhidi ya hujuma mchanganyiko za maadui.

  • Kamanda wa Jeshi: Iran inajiundia aghalabu ya silaha na zana za kivita

    Kamanda wa Jeshi: Iran inajiundia aghalabu ya silaha na zana za kivita

    Sep 02, 2021 06:56

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran hivi sasa inajiundia aghalabu ya silaha na zana za kivita inazohitaji.

  • Yemen yasisitiza kuendelea kujibu mapigo kwa hujuma na mashambulio ya Saudia

    Yemen yasisitiza kuendelea kujibu mapigo kwa hujuma na mashambulio ya Saudia

    Jul 03, 2020 03:19

    Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen amesisitiza kuwa vyombo vya kijeshi na vya utawala vya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia vitaendelea kushambuliwa madamu muungano huo vamizi ungali unaendeleza uchokozi na mzingiro dhidi ya Yemen.

  • Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Yahya Rasul: Iraq haihitaji askari wa kigeni kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Jun 03, 2020 02:58

    Msemaji wa kamandi kuu ya jeshi la Iraq amesema kuwa, nchi hiyo haihitai askari yeyote wa kigeni kwa ajili ya mapambano na mabaki ya ugaidi.

  • Brig. Jen. Hajizadeh: Utayarifu wa kujihami Iran upo katika kiwango cha juu zaidi

    Brig. Jen. Hajizadeh: Utayarifu wa kujihami Iran upo katika kiwango cha juu zaidi

    May 24, 2020 06:16

    Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa, utayarifu wa kulihami na kulilinda wa taifa la Iran hivi sasa upo katika kiwango cha juu zaidi katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa Daesh (ISIS) yaanza nchini Iraq

    Operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa Daesh (ISIS) yaanza nchini Iraq

    May 05, 2020 06:50

    Msemaji wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Iraq ameelezea amri ya Adil Abdul-Mahdi, Waziri Mkuu wa Iraq ya kuanzishwa operesheni kali dhidi ya mabaki ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.

  • Meja Jenerali Baqeri: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu uadui wowote ule

    Meja Jenerali Baqeri: Majeshi ya Iran yako tayari kujibu uadui wowote ule

    Jul 09, 2019 03:55

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema kuwa, majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yako tayari kujibu kwa nguvu zote uadui wowote ule dhidi yake.

  • Waziri wa Ulinzi: Iran inajiimarisha kiulinzi ili kuzima uchokozi wa maadui

    Waziri wa Ulinzi: Iran inajiimarisha kiulinzi ili kuzima uchokozi wa maadui

    Mar 13, 2019 04:23

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo wa kiulinzi wa nchi hii utaendelezwa na kupanuliwa zaidi na kwa kasi kwa shabaha ya kuzuia chokochoko za maadui.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS