-
Rais al-Assad wa Syria na mkewe wazitembelea familia za mashahidi wa vita
Jul 21, 2018 22:56Rais Bashar al-Assad wa Syria pamoja na mke wake wametembelea familia za mashahidi na majeruhi wa vita wanaoishi katika kambi ya Abenau Nasr, katika kijiji cha al-Zainat cha mji wa Masyaf, magharibi mwa nchi hiyo.
-
Iran yajiimarisha kijeshi, yaahidi kutoa jibu kali kwa maadui
Apr 11, 2018 02:57Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Amir Hatami amesema nchi hii inaendelea kuimarisha uwezo wake wa kujihami na kwamba iko tayari kutoa jibu kali kwa maadui iwapo watachukua hatua zozote za uhasama.
-
Iraq: Saudia ilikuwa inawaruhusu magaidi kuingai nchini mwetu kuchafua usalama
Feb 11, 2018 01:10Wizara ya Ulinzi ya Iraq imetoa taarifa ikisema kuwa, utawala wa Aal-Saud nchini Saudia kuanzia mwaka 2004 hadi 2016, ilipuuza suala la kuwazuia magaidi wa Kiwahabi na wakufurishaji kuingia katika ardhi ya Iraq na kuchafua usalama.
-
Mabadiliko makubwa katika safu ya uongozi wa vikosi vya ulinzi vya Niger
Jan 20, 2018 23:38Rais wa Niger amefanya mabadiliko makubwa katika safu ya uongozi wa vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo kwa shabaha ya kuimarisha vita dhidi ya ugaidi na kupambana na wanamgambo wenye misimamo ya kufurutu ada.
-
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ataka kuongezewa muda vikosi vya nchi hiyo vilivyoko nje ya nchi
Dec 18, 2017 01:12Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani ameomba kuongezewa muda wa mwaka mmoja vikosi vya nchi hiyo vilivyopo Afghanistan, Iraq na Mali.
-
Kiongozi Muadhamu: Kuimarishwa vikosi vya jeshi kunalinda taifa
Dec 03, 2017 12:00Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia uhasama usiokoma wa maadui dhidi ya taifa la Iran na Mfumo wa Kiislamu hapa nchini na kusema kuwa, kukabiliana na mahasimu hao kunahitajia kuimarishwa zaidi uwezo wa jeshi la taifa.
-
Kiongozi Muadhamu: Hujuma ya Marekani Syria ni kosa la kistratijia
Apr 09, 2017 12:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameashiria hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kusema: "Ni jambo linalotarajiwa kwa Marekani kutenda jinai na kukiuka mambo na kudhulumu na imewahi kuyafanya hayo katika maeneo mengine duniani."
-
Dehqan: Juhudi za Israel za kuunda muungano dhidi ya Iran zitafeli
Feb 22, 2017 00:36Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema juhudi za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuunda muungano dhidi ya Iran hazitafua dafu.
-
Iran yaapa kuendelea kuimarisha uwezo wake wa kujihami
Jul 19, 2016 23:28Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Brigedia Jenerali Hossein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu imeazimia kuimarisha uwezo wake wa kujihami na kuzuia maadui.
-
Zaidi ya magaidi 80 wauawa Sinai, Misri
May 25, 2016 23:57Jeshi la Misri limetangaza kuwa, limefanikiwa kuua magaidi wasiopungua 85 katika kipindi cha siku nne zilizopita kwenye maeneo ya Sheikh Zuweid na Rafah, katika rasi ya Sinai ya kaskazini mwa nchi hiyo.