-
Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba
Jan 13, 2021 07:00Ikiwa ni katika kudumisha siasa zake za uhasama dhidi ya serikali za mrengo wa kushoto katika eneo la Amerika ya Latini, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine imelirejesha jina la Cuba katika orodha ya nchi zinazodaiwa kuunga mkono ugaidi.
-
Ujumbe na malengo ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Falih al-Fayadh
Jan 11, 2021 23:02Wizara ya Fedha ya Marekani, siku ya Ijumaa iliweka jina la Falih al-Fayadh, Mkuu wa Harakati ya Wananchi ya al-Hashd al-Shaabi ya nchini Iraq katika orodha yake ya vikwazo kwa kisingizio cha kukiuka haki za binadamu. Hatua hiyo ya Marekani ina ujumbe muhimu kwa mitazamo kadhaa.
-
Maduro katika ujumbe wake kwa mwaka mpya wa Miladia; tutaimarisha zaidi uhusiano na Iran
Jan 03, 2021 03:06Katika kuanza mwaka mpya wa 2021 Miladia Rais wa Venezuela akiashiria suala la kuilinda ardhi ya nchi hiyo amesisitiza kuwa ataimarisha uhusiano na Iran, Russia, China, Cuba, Uturuki na India.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 20, 2020 07:59Licha ya kufeli kwa sera za vikwazo za Marekani dhidi ya Venezuela, lakini viongozi wa Washington wangali wamekumbatia siasa hizo za mashinikizo na kuendelea kutekeleza siasa hizo zilizoshindwa na kugonga ukuta dhidi ya nchi hiyo ya Amerka ya Latini.
-
Putin: Vikwazo dhidi ya nchi zinazokabiliana na janga la corona vinapaswa kuondolewa
Dec 18, 2020 02:05Rais wa Russia amesisitiza katika mkutano wake wa kila mwaka kwamba, vikwazo na vizuizi vya kibiashara vilivyowekewa nchi ambazo zimeathiriwa na maambukizi ya corona vinapaswa kuondolewa.
-
Iran yamuwekea vikwazo balozi wa Marekani nchini Yemen
Dec 10, 2020 04:45Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kumuweka balozi wa Marekani nchini Yemen katika orodha ya waliowekewa vikwazo na Iran.
-
Sisitizo la Putin la kumuunga mkono Lukashenko mkabala na vikwazo vipya vya nchi za Magharibi
Nov 06, 2020 03:17Maandamano makubwa yaliyofanyika hivi karibuni nchini Belarus kufuatia uchaguzi uliomrejesha tena madarakani Rais Alexander Lukashenko, kilikuwa kisingizio kizuri kwa nchi za Magharibi kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo na kuanza kutekeleza vikwazo na siasa za uhasama dhidi ya serikali yake.
-
Kurefusha Marekani vikwazo dhidi ya Sudan; zawadi ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na Israel
Nov 03, 2020 10:11Serikali ya Trump ikiwa na lengo la kuuridhisha utawala wa haramu wa Israel imechukua hatua tofauti ikiwemo ya kuandaa uwanja wa kutambuliwa rasmi utawala huo na mataifa ya Kiarabu na Kiislamu ambapo hatua yake ya karibuni kabisa na kuanzishwa uhusiano wa kawaida kati ya Sudan na utawala huo ghasibu.
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Rusia na Belarus
Oct 14, 2020 03:00Ikiwa ni muendelezo wa uingiliaji wa nchi za Magharibi wa masuala ya ndani ya mataifa mengine, sasa hivi Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kutekeleza kivitendo vikwazo dhidi ya Russia na Belarus.
-
Sudan yaikosoa Marekani kwa kukwamishwa kufikiwa demokrasia huko Khartoum
Oct 12, 2020 04:05Waziri Mkuu wa Sudan ameituhumu Marekani kuwa inaikwamisha Sudan kufikia demokrasia.