-
Rouhani: Uingiliaji mambo wa Marekani unahatarisha usalama na uthabiti wa eneo
Apr 28, 2020 02:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi imevuruga usalama na uthabiti katika eneo hili.
-
Rais Rouhani: Inapasa nchi zote zitangaze misimamo yao kuhusu hatua za kiuadui za Marekani
Apr 21, 2020 22:44Rais Hassan Rouhani amesema: Katika mazingira maalumu ya hivi sasa yanayotokana na kuenea virusi vya corona duniani, nchi zote zinapaswa kuwa bega kwa bega katika kupambana na kirusi hicho angamizi na kutangaza kwa uwazi kabisa misimamo yao kuhusiana na hatua za kiuadui za Marekani.
-
Iran: Uropokaji mpya wa Marekani unakusudia kuipotosha dunia
Apr 19, 2020 03:22Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Marekani imeazimia kuupotosha ulimwengu, ili usishughulishwe tena na ugaidi wa kiuchumi wa taifa hilo la kibeberu dhidi ya Iran.
-
Kwa mara nyingine UN yaitaka Marekani iondoe vikwazo vyake duniani wakati huu wa corona
Apr 16, 2020 03:12Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine ametilia mkazo mwito wa umoja huo wa kuitaka Marekani ifute vikwazo vyake kwa mataifa ya dunia wakati huu wa vita dhidi ya COVID-19.
-
Bunge la Juu ya Uingereza lataka kuondolewa vikwazo Iran
Apr 15, 2020 03:39Mwenyekiti wa Kamati ya Uhusiano wa Kimataifa na Ulinzi ya Bunge la Juu la Uingereza (House of Lords) amesema anaunga mkono miito inayotolewa na maafisa wa nchi za Ulaya na Marekani za kutaka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iondolewa vikwazo, katika kipindi hiki ambapo Iran inaendelea kukabiliana na maambukizi makubwa ya virusi vya Corona.
-
Baraza la Makanisa Duniani laitaka Marekani iiondolee Iran vikwazo
Apr 12, 2020 23:06Baraza la Makanisa Duniani na Jumuiya ya Kitaifa ya Makanisa ya Kristo zimeeleza wasiwasi wao juu ya athari mbaya za vikwazo vya Marekani dhidi ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Kuzinduliwa INSTEX ni hatua chanya, lakini haitoshi
Apr 06, 2020 23:01Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepongeza kuzinduliwa mfumo maalumu wa mabadilishano ya fedha kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Umoja wa Ulaya (INSTEX) na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni chanya, lakini haitoshi kukidhi maslahi yote ya Iran.
-
Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo
Apr 03, 2020 23:43Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.
-
Rouhani: Marekani imepoteza fursa ya kihistroria ya kusahihisha makosa yake
Apr 01, 2020 21:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani imepoteza fursa ya kipekee na ya kihistoria ya kusahihisha makosa yake kwa kukataa kulindolea taifa hili vikwazo haramu wakati huu ambapo Iran inakabiliana na ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwana virusi vya corona.
-
Ripota Maalumu wa UN ataka kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Apr 01, 2020 03:37Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya "Haki ya Chakula" ametaka kuondolewa vikwazo vya upande mmoja vya Marekani.