-
Guterres asisitiza kuwa vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinakiuka azimio 2231
Dec 13, 2019 05:33Rais Donald Trump wa Marekani ni mpinazni mkali wa mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) akiyataja kuwa ni mapatano mabaya zaidi kuwahi kufikiwa katika historia ya Marekani.
-
Kuendelea mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela; kuwekewa Caracas vikwazo vipya
Dec 05, 2019 03:43Serikali ya Marekani imeendeleza mashinikizo yake dhidi ya Venezuela ambapo imeiwekea nchi hiyo vikwazo vipya katika sekta ya viwanda na biashara ya mafuta.
-
Rouhani: Mazungumzo na kundi la 5+1 yanawezekana iwapo vikwazo vya kidhalimu dhidi ya Iran vitaondolewa
Dec 04, 2019 04:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa kundi la 5+1 iwapo Marekani italiondolea taifa hili vikwazo vyake vya kidhalimu.
-
Rouhani: Marekani ni nchi inayotenda jinai na ya kigaidi
Dec 03, 2019 08:52Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya taifa la Iran na kueleza kuwa Marekani ni nchi inayotenda jinai na ya kigaidi.
-
Zarif azilaumu nchi za Ulaya kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kibinadamu
Dec 02, 2019 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezilaumu nchi za Ulaya kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kibinadamu na kuongeza kuwa, ni jukumu la nchi za Ulaya kutekeleza wajibu wa kuhusu watoto wadogo wa Iran wanaokwama kwenye matibabu kutokana na ugaidi wa kiuchumi unaofanywa na Marekani dhidi ya wananchi wa taifa hili.
-
Waziri Mkuu wa Sudan aelekea Washington katika juhudi za kupigania nchi yake iondolewe vikwazo
Dec 01, 2019 23:07Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok ameelekea mjini Washington katika juhudi za kupigania nchi yake iondolewe vikwazo ilivyowekewa na Marekani na kuondolewa jina la nchi hiyo kwenye orodha ya wafadhili na waungaji mkono wa ugaidi.
-
Hatua ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Waziri wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Iran
Nov 23, 2019 09:00Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imeiwekea Iran vikwazo vikali ikiwa ni katika kutekeleza siasa zake za mashinikizo ya juu zaidi. Wakati huo huo ghasia zilizotokea hivi karibuni nchini Iran zimetumiwa na serikali ya Washington kuwawekea vikwazo vipya viongozi wa ngazi ya juu wa Iran ikiwa ni katika kuunga mkono ukosefu huo wa amani na wasababishaji wa ghasia hizo.
-
Venezuela: Vikwazo vya Marekani ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Nov 20, 2019 21:35Venezuela imetangaza kuwa mamilioni ya dola ambazo ni mali ya wananchi wa nchi hiyo zimeathiriwa na hatua za vitisho na za upande mmoja za Marekani; na huo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya Marekani ni hatua iliyo dhidi ya maazimio ya kimataifa
Nov 19, 2019 09:55Rais Hassan Rouhani amesema, Marekani inapaswa ijijue kwamba si kiongozi wa dunia bali ni nchi kama zilivyo nchi zingine na akasisitiza kwamba, vikwazo vya Marekani ni kosa kubwa la kisiasa na kiuchumi na ni hatua iliyo dhidi ya kanuni na maazimio ya kimataifa.
-
'Kuimarishwa uwezo wa kujihami Iran ni njia pekee ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani'
Nov 16, 2019 23:08Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema njia pekee ya kukabiliana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni kuimarisha uwezo wa nchi katika nyanja zote hasa katika uga wa nguvu za kijeshi