Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • Ansarullah: Jeshi la Yemen liko katika “Vita vya Maamuzi” dhidi ya Saudia

    Ansarullah: Jeshi la Yemen liko katika “Vita vya Maamuzi” dhidi ya Saudia

    Sep 22, 2026 12:24

    Mjumbe mwandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa jeshi la nchi hiyo linashiriki katika “vita vya maamuzi” dhidi ya Saudi Arabia. Amesisitiza kuwa hatua yoyote ya Saudia ya kushadidisha uhasama itasababisha moja kwa moja kupanuka kwa wigo wa mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Yemen.

  • Jenerali Rezaei: Msimamo wa nyuklia wa Iran hauajabadilika, lakini uwezekano wa kujiondoa katika NPT upo

    Jenerali Rezaei: Msimamo wa nyuklia wa Iran hauajabadilika, lakini uwezekano wa kujiondoa katika NPT upo

    Sep 20, 2026 04:34

    Afisa mkuu wa usalama wa Iran amesema kuwa nchi nchi hii inashikamana na sera yake ya kutozalisha silaha za nyuklia, akiongeza kuwa kujiondoa katika Mkataba wa Kutozalisha Silaha za Nyuklia (NPT) kunawezekana kama jibu kwa vitisho vya kijeshi na kisiasa kutoka kwa Marekani na utawala wa Kizayuni.

  • Ripoti: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa katika vita dhidi ya Iran yazidi takwimu rasmi za Idara ya Vita

    Ripoti: Idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa katika vita dhidi ya Iran yazidi takwimu rasmi za Idara ya Vita

    Sep 20, 2026 04:31

    Inawezekana kuwa idadi ya wanajeshi wa Marekani waliouawa katika maeneo mbalimbali ya Asia Magharibi wakati wa vita dhidi ya Iran vilivyoendeshwa na utawala wa Trump ni kubwa kuliko inavyoonyeshwa katika “rekodi za waathirika” zinazopatikana hadharani kutoka Idara ya Vita ya Marekani.

  • Qalibaf asema enzi ya ndege za Marekani aina ya F-35 “kuwindwa” imeanza

    Qalibaf asema enzi ya ndege za Marekani aina ya F-35 “kuwindwa” imeanza

    Sep 19, 2026 11:59

    Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema enzi ambayo ndege za kisasa kabisa za kivita za Marekani aina ya F-35 na F-15 zinafuatiliwa na kulengwa tayari imeanza, wakati ripoti zikionyesha kuongezeka kwa shinikizo na uharibifu kwa jeshi la Marekani, miezi saba baada ya Washington kuanzisha vita haramu dhidi ya Iran.

  • The Nation: Iran “haikusalimu amri”, Marekani iko katika hatihati ya kupiga magoti

    The Nation: Iran “haikusalimu amri”, Marekani iko katika hatihati ya kupiga magoti

    Sep 18, 2026 03:48

    Chombo cha habari cha Marekani The Nation, katika makala kali iliyoikosoa vikali serikali ya nchi hiyo kwa kuingia vitani na Iran, kimeandika:

  •  Araghchi: Mashauriano ya Beijing yamefanikiwa; Iran yathamini “ushirikiano wa kimkakati” na China

    Araghchi: Mashauriano ya Beijing yamefanikiwa; Iran yathamini “ushirikiano wa kimkakati” na China

    Sep 17, 2026 12:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ameelezea mashauriano yake mjini Beijing kama “yaliyofanikiwa,” akizungumzia maudhui ya safari yake katika mji mkuu huo wa China, ambapo alikutana na mwenzake, Wang Yi.

  • Kamanda wa IRGC: Iran itajibu vikali kosa lolote la kimahesabu la adui

    Kamanda wa IRGC: Iran itajibu vikali kosa lolote la kimahesabu la adui

    Sep 17, 2026 10:59

    Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kuwa kitendo chochote cha uchokozi kutoka kwa adui kitakabiliwa na jibu kali na thabiti kutoka kwa vikosi vya ulinzi vya Iran.

  • Iran yasema hakuna mazungumzo na Marekani hadi masharti yake yatimizwe

    Iran yasema hakuna mazungumzo na Marekani hadi masharti yake yatimizwe

    Sep 15, 2026 04:18

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (SNSC), Meja Jenerali Mohsen Rezaei, amesisitiza kuwa kauli za mkanganyiko na ujumbe unaotatanisha kutoka kwa Rais wa Marekani haupaswi kumpotosha yeyote kutoka kwenye uhalisia mpya uliopo sasa kuhusu mafuta na milango-bahari, akiongeza kuwa hakutakuwa na mazungumzo yoyote hadi masharti yaliyowekwa na Iran yatimizwe kikamilifu.

  • Waziri wa Ulinzi: Iran itakuwa na teknolojia ya kisasa zaidi katika vita vyovyote vipya

    Waziri wa Ulinzi: Iran itakuwa na teknolojia ya kisasa zaidi katika vita vyovyote vipya

    Sep 14, 2026 04:02

    Kaimu Waziri wa Ulinzi wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itakuwa na maendeleo makubwa zaidi ya kiteknolojia iwapo vita vingine vitazuka.

  • Wairani 352,983 washtaki Marekani na Israel kwa vita vya kwanza dhidi ya Iran

    Wairani 352,983 washtaki Marekani na Israel kwa vita vya kwanza dhidi ya Iran

    Sep 13, 2026 11:18

    Kesi ya kwanza ya madai iliyofunguliwa na familia za waathiriwa wa “Vita vya Siku 12” vilivyoanzishwa na Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran mwezi Juni 2025, ilisikilizwa Jumapili asubuhi katika Mahakama ya Iran jijini Tehran.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS