-
UN yaonya tena: Sudan Kusini inakaribia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe
Mar 26, 2025 02:41Umoja wa Mataifa umeonya kuwa Sudan Kusini iko kwenye ukingo wa vita vya wenyewe kwa wenyewe huku ghasia kati ya pande zinazohasimiana zikiongezeka.
-
Kwa nini Marekani inataka kuwekeza katika sekta ya madini nchini Kongo DR?
Mar 12, 2025 12:32Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Marekani zinapanga kushirikiana katika mapatano ya kiuchumi na kisiasa.
-
Mahakama ya Kijeshi ya DRC yatoa hati ya kukamatwa Corneille Nangaa
Feb 06, 2025 11:17Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa Corneille Nangaa, mkuu wa makundi ya waasi wa mashariki mwa nchi hiyo, ikimtuhumu kwa kushindwa kuzuia vitendo vya utesaji chini ya mamlaka yake.
-
Makumi ya wafanyakazi wa UNRWA wameuawa katika vita vya Gaza
Dec 31, 2024 12:43Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Ajira kwa Wakimbizi wa Kipalestina UNRWA limetangaza kuwa, wafanyakazi 258 wa shirika hilo wameuawa katika Ukanda wa Gaza tangu kuanza kwa vita hivyo mwaka jana (2023).
-
Sisitizo la Trump la kuanza duru mpya ya vita vya ushuru katika kipindi cha pili cha urais
Nov 28, 2024 02:51Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa katika siku yake ya kwanza akiwa Ikulu ya White House, atatoa agizo la kutozwa ushuru mpya bidhaa zote zinazoagizwa kutoka Mexico, Canada na China.
-
Baqaei: Mashinikizo haramu ya Marekani dhidi ya watu wa Iran yameendelea hadi leo
Nov 03, 2024 12:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani sera na mienendo ya kindumakuwili ya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Katibu Mkuu wa UN: Sasa ni wakati wa kunyamazishwa sauti za bunduki Mashariki ya Kati
Oct 06, 2024 07:29Katika mkesha wa kumbukumbu ya mwaka wa kwanza wa mashambulizi ya Oktoba 7, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kukomesha mara moja "umwagaji damu na ukatili wa kutisha" katika ukanda wa Gaza na Lebanon, kunyamazisha sauti za bunduki na kurejeshwa amani katika eneo hilo.
-
Madai ya Marekani katika muktadha wa kujaribu kuzuia vita Asia Magharibi
Oct 01, 2024 02:17Marekani ambayo ni mdhamini mkubwa zaidi wa silaha kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ajili ya mashambulizi makubwa dhidi ya watu wa Lebanon na Gaza, sasa inajitokeza kwa unafiki na kutoa wito wa kupunguzwa mivutano na kurejeshwa amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Makundi ya kisiasa Sudan yakataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo
Jul 08, 2024 07:07Mkutano wa makundi ya kisiasa na kiraia ya Sudan ulimalizika jana mjini Cairo, Misri ambapo vyama vya Sudan vilijadili njia za kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo, huku baadhi ya makundi yakikataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo.
-
Kim Jong-un avitaka vikosi vya ulinzi kujiweka tayari kwa ajili ya vita
Mar 17, 2024 11:17Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, ametoa wito kwa vikosi vya jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari kikamilifu kukabiliana na mzozo wowote unaoweza kutokea.