Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vita

  • Wimbi jipya la upinzani dhidi ya vita nchini Marekani; dalili ya kudhoofika zaidi Trump

    Wimbi jipya la upinzani dhidi ya vita nchini Marekani; dalili ya kudhoofika zaidi Trump

    Feb 28, 2026 02:11

    Kadiri matamshi ya kivita yanavyozidi kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, pamoja na baadhi ya maafisa wa utawala wake, wimbi jipya la upinzani dhidi ya uwezekano wa a vita vya kichochezi vya Marekani dhidi ya Iran limeanza kushika kasi.

  • Mohajerani: Iran inafadhilisha diplomasia badala ya vita

    Mohajerani: Iran inafadhilisha diplomasia badala ya vita

    Feb 24, 2026 22:57

    Msemaji wa serikali ya Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu inafadhilisha diplomasia kuliko vita, lakini inaviona viwili hivyo kama mikakati ya kulinda maslahi ya taifa la Iran.

  • Russia yakanusha madai ya kuwaajiri Wakenya katika vita vya Ukraine

    Russia yakanusha madai ya kuwaajiri Wakenya katika vita vya Ukraine

    Feb 20, 2026 03:42

    Russia imekanusha madai kwamba inawaajiri Wakenya kupigana vitani nchini Ukraine, kufuatia ripoti za Huduma ya Kijasusi ya Kitaifa ya Kenya kwamba zaidi ya Wakenya 1,000 kwa sasa wanapigana upande wa Russia katika mzozo huo.

  • Vita vya kieneo; maana yake na jinsi vinavyotokea

    Vita vya kieneo; maana yake na jinsi vinavyotokea

    Feb 04, 2026 23:02

    Kwa mujibu wa ripoti ya Pars Today, kutokana na uchochezi na vitisho vya mara kwa mara vya Marekani dhidi ya Iran, Tehran imeonya kwamba shambulio lolote la kijeshi kutoka Marekani dhidi ya Iran litasababisha kuwashwa moto wa vita vya eneo. Sasa swali linaibuka: vita vya eneo ni nini na vinafanyika vipi?

  • Kwa nini Marekani inashadidisha mazingira ya vita dhidi ya Venezuela?

    Kwa nini Marekani inashadidisha mazingira ya vita dhidi ya Venezuela?

    Dec 24, 2025 23:06

    Marekani, kwa mara nyingine tena, imeimarisha uwepo wake kijeshi huko Caribbean.

  • Kuzidi kuwa tata vita vya Sudan; indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu kupanuka wigo wake

    Kuzidi kuwa tata vita vya Sudan; indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusu kupanuka wigo wake

    Dec 23, 2025 08:24

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa sanjari na kusisitiza umuhimu wa kusitisha vita nchini Sudan, ameonya kuhusu utambulisho wake tata na athari zake zinazopanuka kwa nchi jirani na eneo kwa ujumla.

  • Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?

    Kuipachika Venezuela lebo ya ugaidi; shutuma za kisiasa au kisingizio cha shambulio?

    Dec 19, 2025 22:53

    Katika hatua yake ya hivi karibuni dhidi ya serikali ya Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza serikali hiyo kuwa ni ya kigaidi na ameamuru kuzuiwa meli zote za mafuta zinazoingia au kutoka nchini humo.

  • Jumanne, tarehe 9 Disemba, 2025

    Jumanne, tarehe 9 Disemba, 2025

    Dec 08, 2025 23:08

    Jumanne tarehe 18 Jamadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 9 mwaka 2025.

  • SIPRI: Kushamiri kwa vita kumeyapatia faida ya kupindukia makampuni makuu ya uundaji silaha

    SIPRI: Kushamiri kwa vita kumeyapatia faida ya kupindukia makampuni makuu ya uundaji silaha

    Dec 01, 2025 03:01

    Takwimu mpya zilizotolewa kwenye ripoti ya Taasisi ya Utafiti wa Amani ya Kimataifa ya Stockholm (SIPRI) zinaoneysha kuwa, mapato yanayotokana na mauzo ya silaha na huduma za kijeshi ya makampuni 100 makubwa zaidi ya uundaji silaha duniani yalifikia rekodi ya dola bilioni 679 mwaka 2024.

  • Mamluki wa kigeni wana jukumu gani katika kuchochea vita nchini Sudan?

    Mamluki wa kigeni wana jukumu gani katika kuchochea vita nchini Sudan?

    Nov 24, 2025 23:09

    Kamati ya Uchunguzi wa Haki za Binadamu imetangaza kuhusu ushirikiano uliopo kati ya mamluki wa kigeni na Vikosi vya Msaada wa Haraka vya Sudan RSF katika vita vya ndani nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS