-
Mwanaharakati Muaustralia aliyesilimu kutokana na Palestina: Nashangaa watu wote si Waislamu
Dec 24, 2025 06:18Robert Martin, mwandishi na mwanaharakati Muaustralia mtetezi na muungaji mkono wa Palestina, ambaye amesilimu hivi karibuni amesema, uungaji mkono wake kwa Palestina na safari yake ya kiimani kuelekea kwenye dini tukufu ya Uislamu vimechochewa na miaka kadhaa ya uanaharakati na tajiriba aliyopata katika safari za misafara ya meli za Uhuru, ambazo zimejaribu kuvunja kizuizi kilichowekwa na Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza.
-
Vence adai Ulaya itakuwa hatari kwa Marekani, kwa kuwa eti itatawaliwa na Waislamu
Dec 23, 2025 11:56Makamu wa Rais wa Marekani J.D. Vance amedai kuwa, Ulaya Magharibi yenye silaha za nyuklia inaweza kuwa hatari kubwa ya kiusalama kwa Marekani ikiwa utambulisho wa kitaifa wa nchi zake utaendelea kubadilika kutokana na uhamiaji mkubwa unaofanyika katika nchi hizo.
-
Makaburi ya Waislamu nchini Australia yanajisiwa baada ya ufyatuaji risasi huko Sydney
Dec 16, 2025 02:51Makaburi ya Waislamu nchini Australia yamenajisiwa kwa vichwa vya nguruwe vilivyokatwa kufuatia ufyatuaji risasi uliolenga hafla ya Kiyahudi mjini Sydney nchini humo.
-
Ripoti yatahadharisha: Mamilioni ya Waingereza Waislamu wako hatarini kuvuliwa uraia
Dec 14, 2025 09:45Mamlaka ya kunyang'anya uraia yanayoelezewa kuwa ni ya "kupindukia mpaka na yenye usiri" iliyopewa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza yanawaweka mamilioni ya Waislamu raia wa nchi hiyo katika hatari ya kuvuliwa uraia wao.
-
Je, sera za chama tawala zimechangia kuenea chuki na ukatili dhidi ya Waislamu nchini India?
Dec 06, 2025 02:44Ghasia dhidi ya Waislamu nchini India zimeongezeka sana katika miaka ya hivi karibuni.
-
India yaendelea kuwakamata Waislamu wanaosema 'Nampenda Muhammad'
Oct 15, 2025 02:33Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameikosoa vikali serikali ya India kwa kuendelea kuwatia mbaroni na kuwashtaki Waislamu wanaoendeleza kampeni ya nchi nzima ya 'Nampenda Muhammad'.
-
Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko bega kwa bega na Qatar na Waislamu wote
Sep 15, 2025 06:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye yuko mjini Doha, Qatar kushiriki katika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Kiislamu na Kiarabu, amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko bega kwa bega na ndugu zake Waislamu wote.
-
Je, siasa za serikali ya Modi zimewatenga Waislamu wa India?
Aug 14, 2025 07:41Waislamu wa India, ambao ni zaidi ya watu milioni 200, katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na changamoto zinazoongezeka katika uwanja wa haki za uraia, usalama wa kijamii na ushiriki wa kisiasa.
-
Waislamu Uholanzi wamtimua Imamu aliyeimba wimbo wa taifa wa Israel mbele ya Herzog
Jul 09, 2025 08:00Imamu wa Msikiti wa Bilal nchini Uholanzi Youssef Msibih amesimamishwa kazi na uongozi wa msikiti huo baada ya kukutana na rais wa utawala wa kizayuni wa Israel Isaac Herzog kama sehemu ya ujumbe wa Waislamu kutoka Ulaya wanaotembelea Israel.
-
Sababu za Chad kusimamisha utoaji visa kwa raia wa Marekani
Jun 07, 2025 13:25Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani wa kuwawekea vikwazo vya usafiri raia wa nchi 12 ambazo kimsingi ni za Waislamu na za Kiafrika, nchi nyingi kati ya hizo zimeuchukulia uamuzi huo kuwa unatokana na siasa za utaifa na zinaziponga uhamiaji za Rais Donald Trump.