-
Ripoti yatahadharisha: Mamilioni ya Waingereza Waislamu wako hatarini kuvuliwa uraia
Dec 14, 2025 06:15Mamlaka ya kunyang'anya uraia yanayoelezewa kuwa ni ya "kupindukia mpaka na yenye usiri" iliyopewa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza yanawaweka mamilioni ya Waislamu raia wa nchi hiyo katika hatari ya kuvuliwa uraia wao.
-
Je, sera za chama tawala zimechangia kuenea chuki na ukatili dhidi ya Waislamu nchini India?
Dec 05, 2025 23:14Ghasia dhidi ya Waislamu nchini India zimeongezeka sana katika miaka ya hivi karibuni.
-
India yaendelea kuwakamata Waislamu wanaosema 'Nampenda Muhammad'
Oct 14, 2025 23:03Watumiaji wa mitandao ya kijamii wameikosoa vikali serikali ya India kwa kuendelea kuwatia mbaroni na kuwashtaki Waislamu wanaoendeleza kampeni ya nchi nzima ya 'Nampenda Muhammad'.
-
Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko bega kwa bega na Qatar na Waislamu wote
Sep 15, 2025 02:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ambaye yuko mjini Doha, Qatar kushiriki katika mkutano wa dharura wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Kiislamu na Kiarabu, amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko bega kwa bega na ndugu zake Waislamu wote.
-
Je, siasa za serikali ya Modi zimewatenga Waislamu wa India?
Aug 14, 2025 04:11Waislamu wa India, ambao ni zaidi ya watu milioni 200, katika miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakikabiliwa na changamoto zinazoongezeka katika uwanja wa haki za uraia, usalama wa kijamii na ushiriki wa kisiasa.
-
Waislamu Uholanzi wamtimua Imamu aliyeimba wimbo wa taifa wa Israel mbele ya Herzog
Jul 09, 2025 04:30Imamu wa Msikiti wa Bilal nchini Uholanzi Youssef Msibih amesimamishwa kazi na uongozi wa msikiti huo baada ya kukutana na rais wa utawala wa kizayuni wa Israel Isaac Herzog kama sehemu ya ujumbe wa Waislamu kutoka Ulaya wanaotembelea Israel.
-
Sababu za Chad kusimamisha utoaji visa kwa raia wa Marekani
Jun 07, 2025 09:55Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani wa kuwawekea vikwazo vya usafiri raia wa nchi 12 ambazo kimsingi ni za Waislamu na za Kiafrika, nchi nyingi kati ya hizo zimeuchukulia uamuzi huo kuwa unatokana na siasa za utaifa na zinaziponga uhamiaji za Rais Donald Trump.
-
Mataifa ya Kiislamu yatakiwa yaungane kukabiliana na 'Islamophobia'
May 27, 2025 03:03Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev ametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu kuungana na kusimama bega kwa bega katika kupambana na chuki dhidi ya Uislamu.
-
Pezeshkian: Ikiwa Waislamu wataungana, maadui hawawezi kuyadhulumu mataifa ya Kiislamu
Apr 04, 2025 06:47Rais wa Iran amesema kuwa ikiwa Waislamu watakuwa na umoja na mshikamano, maadui hawatakuwa na uwezo wa kuyadhulumu mataifa ya Kiislamu.
-
Ukatili wa Polisi Dhidi ya Waandamanaji wa Siku ya Kimataifa Quds Nchini Nigeria
Mar 31, 2025 23:09Katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yaliyofanyika nchini Nigeria Ijumaa kwa kushirikisha mamia ya Waislamu na wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo – kwa lengo la kuonyesha mshikamano na watu wa Palestina na kulaani uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel– maafisa wa polisi wa Nigeria walifyatua risasi dhidi ya waandamanaji. Tukio hilo lilisababisha waandamanaji wasiopungua 18 kuuawa shahidi, wengine kujeruhiwa, na wengi kukamatwa.