-
Rais wa Iran asisitizia umuhimu wa umoja wa Waislamu
Oct 11, 2024 11:18Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesisitiza haja ya umma wa Kiislamu kuwa na umoja na mshikamano na kubainisha kwamba, migawanyiko kati ya Waislamu itawanufaisha maadui pekee.
-
Rais wa Iran: Jinai za Israel ni matokeo ya ukosefu wa umoja wa Waislamu
Sep 19, 2024 14:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, adui analeta mgawanyiko na mifarakano kati yetu na kubainisha kwamba, Waisraeli milioni 2 au 3 wanawaangamiza Waislamu, wanaua wanawake na watoto, wazee na vijana na wagonjwa, wanapiga mabomu hospitali na misikiti na sisi tumekaa tu na kutazama, kwa sababu hatuna umoja na ndio maana Israel inathubutu kufanya jinai hizi.
-
Qalibaf: Madai ya uwongo ya nchi za Magharibi yanakwamisha mazungumzo yenye tija
Sep 16, 2024 02:53Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa hakutakuwepo mazungumzo yoyote yenye tija maadamu nchi za Ulaya na nyingine za Magharibi zinataka kuandaa mazingira kwa ajili ya mashinikizo zaidi kwa kutoa madai ya uwongo.
-
Takwa la Waislamu wa Marekani kwa Biden la kulaani ugaidi wa kiserikali wa Israel
Aug 11, 2024 13:40Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limemtaka Rais Joe Biden wa nchi hiyo ajibu na kulaani vitendo vya ugaidi wa kiserikali vinavyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
CAIR yamtaka Biden 'alaani' ugaidi wa kiserikali wa Israel
Aug 11, 2024 07:34Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limemtaka Rais Joe Biden wa nchi hiyo ajibu na kulaani vitendo vya ugaidi wa kiserikali vinavyofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Sayyid Nasrullah: Waislamu hivi sasa wameshikamana kutokana na Kimbunga cha al Aqsa
Jul 17, 2024 11:03Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, mshikamano unaoonekana hivi sasa na kupungua mivutano katika safu za Waislamu ni katika mafanikio makubwa ya operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa iliyoongozwa na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
-
IHRC: Waislamu ni nguvu yenye ushawishi katika uwanja wa kisiasa wa Uingereza
Jul 17, 2024 03:40Mkuu wa Kamisheni ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) amesema Waislamu ni nguvu yenye taathira katika uwanja wa kisiasa wa Uingereza.
-
Iran katika maombolezo ya Tasua, yaitaka dunia ikabiliane na jinai za Israel
Jul 15, 2024 13:25Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran sanjari na kutoa mkono wa pole kwa Waislamu kote duniani ambao hii leo wapo katika maombelezo ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Hussein AS, ameitaka jamii ya kimataifa kuchukua hatua za kivitendo za kusimamisha jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Pongezi kwa kuadhimisha Sikukuu ya Eid Ghadir Khum
Jun 25, 2024 02:55Leo Jumanne tarehe 25 Juni 2024 inayosadifiana na tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhija 1445 Hijria ni Sikukuu ya Idd Sayyid Ghadir Khum, moja ya Idd kubwa za Waislamu.
-
Uhalifu wa chuki dhidi ya Waislamu waongezeka Ulaya baada ya vita vya Gaza
Jun 21, 2024 02:15Ripoti za chuki na ukiukwaji wa haki dhidi ya Waislamu zimeongezeka kwa kiwango cha kuogofya katika nchi za Ulaya tangu kuanza kwa mashambulizi ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza mnamo Oktoba 7, 2023.