Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • 30 wahukumiwa kifo Congo DR kwa kuhusika na ghasia za siku ya Idul Fitri

    30 wahukumiwa kifo Congo DR kwa kuhusika na ghasia za siku ya Idul Fitri

    May 15, 2021 09:55

    Watu thelathini wamehukumiwa kifo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) baada ya kesi isiyosikilizwa katika siku moja tu, kwa kupatikana na hatia ya kuhusika na ghasia dhidi ya polisi wakati wa ibada ya Swala ya Idul Fitri ya kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani katika mji mkuu wa nchi hiyo.

  • Kupasishwa marufuku ya hijabu kwa wafanyakazi wa serikali katika Bunge la Ujerumani

    Kupasishwa marufuku ya hijabu kwa wafanyakazi wa serikali katika Bunge la Ujerumani

    May 11, 2021 20:14

    Baraza la Juu la Bunge la Ujerumani (Bundesrat) limepasisha sheria inayowapiga marufuku wafanyakazi wa serikali na polisi kuvaa vazi la hijabu.

  • China yapinga unafiki wa Marekani, yasema Washington imeua Waislamu wengi dunia

    China yapinga unafiki wa Marekani, yasema Washington imeua Waislamu wengi dunia

    May 11, 2021 12:42

    China imepinga unafiki wa Merekani katika madai yake ya kutetea haki za Waislamu waliowachache katika eneo la Magharibi mwa China la Xinjiang, na kusisitiza kuwa, Marekani imeua Waislamu wengi katika vita na operesheni zake za kijeshi kuliko nchi nyingine yoyote duniani.

  • Utafiti: Idadi ya Waislamu imeongezeka nchini Ujerumani

    Utafiti: Idadi ya Waislamu imeongezeka nchini Ujerumani

    Apr 29, 2021 07:40

    Uchunguzi uliofanywa na Idara ya Uhamiaji na Wakimbizi ya Ujerumani umebaini kuwepo ongeseko kubwa la idadi ya Waislamu nchini humo katika miaka ya karibuni.

  • CAIR: Manyanyaso dhidi ya Waislamu yaliongezeka kwa asilimia 9 nchini Marekani mwaka uliopita

    CAIR: Manyanyaso dhidi ya Waislamu yaliongezeka kwa asilimia 9 nchini Marekani mwaka uliopita

    Apr 27, 2021 03:14

    Kundi linaloongoza kwa kutetezi haki za Waislamu nchini Marekani lilitangaza Jumatatu ya jana kwamba kumekuwepo ongezeko la asilimia 9 ya idadi ya malalamiko ya unyanyasaji dhidi ya Waislamu ambayo yalipokewa mwaka uliopita wa 2020 ikilinganishwa na mwaka wa kabla yake.

  • Kukiri Biden juu ya kuudhiwa na kubughudhiwa Waislamu nchini Marekani

    Kukiri Biden juu ya kuudhiwa na kubughudhiwa Waislamu nchini Marekani

    Apr 13, 2021 21:52

    Rais Joe Biden wa Marekani amekiri katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuwadia mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani juu ya kuudhiwa na kubughudhiwa Waislamu katika jamii ya Marekani.

  • Naim Qassim: Kushikamana Waislamu kumesambaratisha njama za US-Israel

    Naim Qassim: Kushikamana Waislamu kumesambaratisha njama za US-Israel

    Apr 01, 2021 06:05

    Naibu Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuungana na kushikamana Waislamu pasina kujali tofauti zao za kimitazamo na kiitikadi kumesambaratisha njama za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel za kuyagawanya vipande vipande mataifa ya Kiislamu.

  • Sri Lanka kupiga marufuku niqab, kufunga shule zaidi ya 1,000 za Kiislamu

    Sri Lanka kupiga marufuku niqab, kufunga shule zaidi ya 1,000 za Kiislamu

    Mar 14, 2021 04:37

    Katika kile kinachoonekana ni mwendelezo wa kushtadi chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu nchini Sri Lanka, serikali ya nchi hiyo imetangaza kuwa karibuni hivi itapiga marufuku uvaaji wa vazi la staha la burqa (niqabu) ambalo huvaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.

  • Kubadilishwa Kibla cha Waislamu, Tukio Kubwa na Muhimu

    Kubadilishwa Kibla cha Waislamu, Tukio Kubwa na Muhimu

    Mar 01, 2021 06:23

    Tukio la kubadilishwa kibla cha Waislamu kutoka Baitul Muqaddas na kuelekea Masjidul Haram linahesabiwa kuwa miongoni mwa matukio makubwa na yenye taathira kubwa sana katika historia ya Uislamu ambalo pia lilikuwa na athari nyingi za kustaajabisha.

  • Sri Lankia yafuta agizo la kuchoma maiti za Waislamu baada ya kuzongwa na malalamiko

    Sri Lankia yafuta agizo la kuchoma maiti za Waislamu baada ya kuzongwa na malalamiko

    Feb 26, 2021 23:20

    Serikali ya Sri Lanka jana Ijumaa ilifuta agizo la kuchomwa moto maiti za watu walioaga dunia kutokana na virusi vya corona, siku chache baada ya Waziri Mkuu wa Pakistan, Imran Khan, kutoa wito wa kuheshimiwa ada na taratibu za kidini za Waislamu nchini Sri Lanka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS