-
Waislamu wa Kenya waijia juu serikali kwa kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83
Feb 08, 2021 08:52Viongozi na wanaharakati wa Kiislamu nchini Kenya wamekosoa vikali hatua ya serikali ya nchi hiyo kupitia Shirika la Reli kubomoa msikiti mkongwe wa miaka 83 katika kaunti ya Kisumu, magharibi mwa nchi.
-
Sri Lanka yatakiwa kuacha kuchoma maiti za Waislamu
Jan 10, 2021 00:51Jumuiya 16 zisizo za kiserikali nchini Australia zimetoa wito wa kushinikizwa serikali ya Sri Lanka ili isitishe kuchoma moto maiti za Waislamu wanaoaga dunia kutokana na virusi vya corona nchini Sri Lanka.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (18)= SAUTI
Jan 09, 2021 08:55Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.
-
Kumbukumbu ya mauaji ya Waislamu huko, Zaria kaskazini mwa Nigeria
Dec 12, 2020 03:56Leo Waislamu wa Nigeria wanakumbuka mauaji yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Vitisho, chuki dhidi ya Waislamu zaongezeka Austria baada ya shambulio la kigaidi
Nov 20, 2020 00:11Vitisho, hujuma na chuki dhidi ya Waislamu zimeongezeka kwa kiasi cha kutisha nchini Austria, kufuatia shambulizi la kigaidi lililotokea nchini humo mapema mwezi huu wa Novemba.
-
Waislamu kote duniani wanaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume SAW na Imam Swadiq AS
Nov 02, 2020 23:42Waislamu leo wanaadhimisha maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtume Muhammad SAW pamoja na mjukuu wake Imam Ja'afar bin Muhammad al-Swadiq AS.
-
Waislamu wa Ufaransa walaani shambulio la kigaidi lililotokea nchini humo
Oct 29, 2020 23:01Baraza la Waislamu wa Ufaransa limelaani shambulio la kigaidi lililotokea nchini humo.
-
Al Azhar: Itungwe sheria ya kutambua hujuma dhidi ya Uislamu kuwa ni uhalifu
Oct 28, 2020 23:25Sheikh Mkuu wa al Azhar nchini Misri amekosoa matamshi ya chuki na hujuma ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa dhidi ya Uislamu na kutoa wito wa kutungwa sheria inayotambua chuki na uhasama dhidi ya Waislamu kuwa ni uhalifu.
-
EuroMed Rights yakosoa chuki na uhasama Wa viongozi wa Ufaransa dhidi ya Waislamu
Oct 28, 2020 23:25Kituo cha Haki za Binadamu Ulaya na Mediterania (EuroMed Rights) kimeItaja hatua ya viongozi wa Ufaransa ya kueneza chuki na uhasama dhidi ya Waislamu kuwa ni hatari kubwa.
-
Alkhamisi tarehe 29 Oktoba 2020
Oct 28, 2020 22:57Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 29 Oktoba mwaka 2020.