-
S/Kusini: Tumemzuia Riek Machar kwa kuwa anataka kuingiza silaha nchini
Apr 20, 2016 03:07Serikali ya Sudan Kusini imesema imelazimika kuzuia ndege ya Riek Machar, kiongozi wa upinzani wa nchi hiyo kutua katika uwanja wa ndege wa Juba kutokana na madai kuwa alitaka kungiza silaha nchini humo.
-
Serikali ya Niger yatakiwa kuketi kwenye meza ya mazungumzo na kambi ya upinzani
Mar 13, 2016 23:02Jumuiya ya Wafanyakazi ya Niger imeitaka serikali ya nchi hiyo kufanya mazungumzo na kambi ya upinzani kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Wapinzani Burundi: AU imeshindwa kutetea demokrasia
Mar 13, 2016 13:00Viongozi wa upinzani nchini Burundi wameukosoa vikali Umoja wa Afrika (AU) kwa kushindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoikabili nchi hiyo tangu mwezi Aprili mwaka jana 2015.
-
Bahrain inazidi kuwakandamiza wapinzani
Mar 13, 2016 03:50Shirika moja la kutetea haki za binadamu Bahrain limeutuhumu utawala wa kifalme nchini humo kuwa umezidisha ukandamizaji na utesaji wapinzani wa kisiasa.
-
CUF yakanusha kuwa Maalim Seif yuko kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi
Mar 08, 2016 04:05Chama cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania kimekanusha taarifa zilizoenezwa kwenye mitandao ya kijamii na kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad amelazwa kwenye kitengo cha wagonjwa mahututi katika hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam.