-
Saudia yarefusha kifungo cha mwanachuoni mashuhuri wa upinzani nchini humo
Feb 17, 2022 23:36Mamlaka za Saudi Arabia zimerefusha kifungo cha msomi mashuhuri na mpinzani mkuu wa utawala wa Aal-Saud kwa miaka 8 zaidi, huku ufalme huo ukishadidisha ukandamizaji wa jamii za waliowachache nchini humo.
-
Kushadidi hali ya mgogoro huko Sudan
Oct 30, 2021 22:52Mgogoro nchini Sudan umezidi kuwa mkubwa. Wanajeshi wangali wanashikilia madaraka; na Abdel Fattah al Burhan Kamanda Mkuu wa Jeshi la nchi hiyo ametangaza kuwa siku kadhaa zijazo atatangaza majina ya Waziri Mkuu Mpya na wajumbe wa Baraza la Uongozi. Hii ni katika hali ambayo wananchi wa Sudan wanaendelea kumiminika mitaani kupinga kuendelea wanajeshi kuiongoza nchi hiyo.
-
Masharti ya Maduro kwa ajili ya kufanya mazungumzo na wapinzani
Jul 14, 2021 04:08Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa yupo tayari kufanya duru nyingine ya mazungumzo na wapinzani wa serikali iwapo baadhi ya masharti aliyotoa yatatimizwa.
-
Bobi Wine: Jamii ya kimataifa inathamini zaidi biashara kuliko maadili, haki za binadamu
Jun 04, 2021 22:01Kiongozi wa upinzani wa Uganda Robert Kyagulanyi Sentamu maarufu kwa jina la Bobi Wine amesema hali ya haki za binadamu nchini Uganda imekuwa mbaya zaidi tangu baada ya uchaguzi wa Januari 14 mwaka huu.
-
Watanzania washiriki kwa wingi katika upigaji kura leo
Oct 28, 2020 08:57Mamilioni ya Watanzania, leo Jumatano, Oktoba 28, 2020 wamejitokeza katika vituo vya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, wabunge wa Bunge la Muungano, madiwani na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar.
-
Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Sep 04, 2020 02:52Umoja wa Ulaya na Marekani zimekuwa zikiishinikiza Russia kupitia njia ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Moscow na kutumia madai ya kutetea haki za binadamu.
-
Lissu awasili Tanzania, apokewa na wafuasi na viongozi wa Chadema
Jul 27, 2020 08:35Mwanasheria na mwanasiasa mashuhuri wa kambi ya upinzani nchini Tanzania Tundu Antipas Lissu amewasili nchini humo baada ya kuwa nje ya nchi kwa matibabu kwa zaidi ya miaka miwili, baada ya kunusurika kifo kwa shambulio la risasi akiwa Dodoma.
-
Rais Nyusi wa Msumbiji aapishwa, upinzani wasusia
Jan 15, 2020 23:02Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji alikula kiapo cha kulitumikia taifa jana Jumatano katika hafla iliyosusiwa na viongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo, wanaosisitiza kuwa kuliwepo na udanganyifu katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka uliomalizika wa 2019.
-
Ikhwani yaitaka UN kuokoa maisha ya kiongozi wake aliyoko katika jela ya Misri
Oct 31, 2019 08:46Harakati ya Ikhwanul Muslimin ya Misri imeutaka Umoja wa Mataifa na taasisi zote za kisheria na za kutetea haki za binadamu za kikanda na kimataifa kuokoa maisha ya kiongozi wake, Dakta Mohammed Badie anayeshikiliwa katika jela ya Misri tangu mwaka 2013.
-
Upinzani Msumbiji wakataa kukubali matokeo ya uchaguzi
Oct 20, 2019 03:57Chama kikuu cha upinzani cha Renamo nchini Msumbiji kimepinga matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika Jumanne iliyopita.