-
Madai ya Pompeo dhidi ya harakati ya kuususia utawala wa Israel BDS, na radiamali yake
Nov 20, 2020 09:06Marekani ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa Utawala haramu wa Israel, si tu kwamba imeuhudumia pakubwa utawala huo katika kipindi cha utawala Rais Donald Trump, bali inaendelea kufanya juhudi za kudhoofisha na kuyawekea vikwazo na mashinikizo makundi na harakati ambazo zinaonekana kuwa dhidi ya siasa za ukandamizaji na jinai za utawala huo wa kibaguzi.
-
Onyo la Lavrov kuhusu uwepo wa mamluki 2000 wa kitakfiri huko Karabakh
Nov 05, 2020 03:58Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.
-
Ndoto za alinacha za Trump za kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Oct 14, 2020 02:23Rais Donald Trump wa Marekani akiwa na lengo la kujijengea nafasi nzuri wakati huu wa kukaribia uchaguzi nchini humo, anahitajia kutoa madai ya kufanikiwa katika sera za kigeni za nchi hiyo hasa kuhusiana na Iran.
-
Tishio la Mike Pompeo la kufunga ubalozi wa Marekani mjini Baghdad
Oct 01, 2020 02:27Marekani imekuwa nchini Iraq kwa upana zaidi tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la Daesh na hadi sasa kuna maelfu ya wanajeshi wake katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Madai ya Marekani kuhusu kurejeshwa vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran; ndoto na kujidanganya kwake
Sep 20, 2020 10:26Kugonga mwamba Marekani katika juhudi zake za kutaka muda wa vikwazo vya silaha dhidi ya Iran uongezwe katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kuliifanya serikali ya Donald Trump sambamba na kuibuka na madai kuwa, ni mwanachama wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba, Iran imekiuka makubaliano hayo, ilidai kurejea upya vikwazo vya kimataifa dhidi ya Tehran na ikatoa muhula wa mwezi mmoja katika uwanja huo
-
Afrika Kusini yakadhibisha tuhuma za Marekani dhidi ya Iran
Sep 19, 2020 11:04Baada ya Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, serikali ya Rais Donald Trump ilizidisha mashinikizo ya kiwango cha juu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa shabaha ya eti kulemaza uchumi wa Iran na imekuwa ikitumia kila liwezekanalo kuanzisha vita vya kinafsi na kisaikolojia ikiwa ni pamoja na kutoa vitisho dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Ombi la Guterres kwa nchi mbalimbali kufanya juhudi za pamoja ili kuyalinda mapatano ya JCPOA
Sep 17, 2020 08:50Baada ya Marekani kujitoa kwa upande mmoja katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka 2018 hivi sasa nchi wanachama zilizosalia katika kundi la 4+1 zinasisitiza kuendelea kuwepo mapatano hayo kinyume na mtazamo wa Washington ambayo ilitaka kuchukuliwa hatua sawa na hiyo kutoka kwa wanachama wengine wa kundi la 5+1. Hvi sasa Marekani inafanya njama zake zote kujaribu kuyasambaratisha mapatano hayo ya JCPOA.
-
Lavrov apinga tuhuma kwamba Russia inaingilia uchaguzi wa Marekani
Sep 13, 2020 07:34Uhusiano wa Russia na Marekani umekuwa na mivutano mikubwa baada ya kutokea mgogoro huko Ukraine mwaka 2014. Moja ya kadhia ambazo zimebadilika huko Marekani katika miaka ya karibuni na kuwa dhidi ya Moscow ni mjadala wa madai ya Russia kuingilia uchaguzi wa Marekani. Kwa kuzingatia kukaribia kufanyika uchaguzi wa Rais wa Marekani hivi sasa soko la tuhuma hizo limezidi kupamba moto.
-
Malalamiko ya Sudan kuhusu mashinikizo ya Marekani ya kuwa na uhusiano na Israel
Sep 06, 2020 11:42Serikali ya Trump muda wote imekuwa ikijionesha ni mtumishi asiye na doa wa malengo ya utawala wa Israel na imekuwa ikichukua hatua mbalimbali kama kuzilazimisha nchi za Kiarabu na za Waislamu kutangaza uhusiano wa kawaida na utawala huo wa Kizayuni. Hata hivyo baadhi ya nchi kama Sudan zimeamua kupinga na pia kukabiliana na njama hizo.
-
Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote
Aug 28, 2020 06:29Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.