-
Rais Mwinyi wa Zanzibar aahidi mazuri zaidi kupitia uchumi buluu + Sauti
Jun 13, 2021 08:02Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi amesema kuwa, serikali ya awamu ya nane ya Zanzibar ina dhamira ya dhati ya kupanua wigo wa matumizi endelevu ya bahari na rasilimali zake ili kujenga uchumi wa buluu ulio imara kwa taifa. Mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit na maelezo zaidi.
-
Zanzibar kuanzisha Mfuko Maalum wa Zaka kwa ajili ya kuisaidia jamii
Apr 24, 2021 13:00Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakaribia kukamilisha mpango wa kuanzisha Mfuko Maalum wa Zaka ambao utatumika kuwasaidia watu wenye mahitaji visiwani humo.
-
Rais wa Zanzibar 'awatumbua' Makamanda wakuu watatu wa Idara Maalum za SMZ
Apr 13, 2021 02:50Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Makamanda watatu wa Idara Maalum za SMZ.
-
Wazanzibar wajitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa hayati Magufuli katika Uwanja wa Amaan
Mar 23, 2021 14:40Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ali Mwinyi leo Jumanne ameongoza viongozi mbalimbali na Wazanzibari kwa ujumla katika shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hayati Dkt John Pombe Magufuli, ambaye alifariki dunia Machi 17 jijini Dar es Salaam.
-
Othman Masoud Othman Sharif aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar + SAUTI
Mar 02, 2021 18:47Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amemwapisha Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar kufuatia uteuzi aliofanya tarehe mosi Machi mwaka huu
-
Mamia ya maelfu washiriki katika mazishi ya kihistoria ya Maalim Seif Sharif Hamad, Zanzibar
Feb 18, 2021 17:58Mamia ya maelfu ya Watanzania hasa wa Visiwa vya Zanzibar leo wameshiriki kwenye maziko ya kihistoria ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK), Maalim Seif Sharif Hamad yaliyofanyika katika kijiji alikozaliwa cha Nyali huko Mtambwe kisiwani Pemba.
-
Serikali ya Zanzibar yagundua mashamba 6,315 yanayoshikiliwa kinyume na sheria kisiwani Pemba
Feb 16, 2021 12:42Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema mashamba 6,315 yanayoshikiliwa na watu kinyume na sheria yamegunduliwa katika kisiwa cha Pemba.
-
Zanzibar yaadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi, sherehe zagubikwa na corona
Jan 12, 2021 14:56Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amewaongoza Wazanzibari kusheherekea maadhimisho ya miaka 57 ya Mapinduzi huku sherehe hizo zikigubikwa na janga la COVID-19 au corona.
-
Maalim Seif Sharif Hamad aapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK) + SAUTI
Dec 08, 2020 16:21Maalim Seif Sharif Hamad ameapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzibar (SUK)
-
Maalim Seif ateuliwa kuwa makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar
Dec 07, 2020 07:19Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemteua mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kuwa makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar.