-
Zarif: Shahidi Soleimani alikuwa dhihirisho la msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu
Feb 12, 2020 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kuuliwa kigaidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda shahidi wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) kutazidisha azma na irada ya mhimili wa muqawama.
-
Kufuatiliwa kisheria hatua za kigaidi za Donald Trump dhidi ya Iran
Feb 08, 2020 03:00Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran hivi sasa iko katika mchakato wa kufuatilia kisheria katika taasisi za kimataifa; hatua tatu za kigaidi zilizochukuliwa na Marekani dhidi ya Iran.
-
Dakta Zarif: Hatua ya madola ya Ulaya ya kuitii kibubusa Marekani ni maafa
Jan 26, 2020 02:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya madola ya Ulaya ya kuitii kibubusa Marekani ni maafa na kueleza kwamba, madola ya ulaya hayana ubavu wa kumpinga Rais Donald Trump wa Marekani.
-
Zarif aziasa nchi za Ulaya kusimama kidete mkabala wa vitisho vya Trump
Jan 22, 2020 13:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Marekani ya kutoa vitisho vipya vya kuziwekea nchi za Ulaya ushuru mpya wa kibishara inadhihirisha kuwa, kutumbukia nchi za EU kwenye mtego wa Rais Donald Trump kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA kumekuwa na maslahi zaidi kwa kiongozi huyo wa Marekani na sio kwa nchi hizo za Ulaya.
-
"Trump, Pompeo na Daesh pekee ndio wanaosherehekea kuuliwa Soleimani"
Jan 16, 2020 02:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS), Rais Donald Trump wa Marekani na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Mike Pompeo ndio pekee wanaosherehekea na kufurahia kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).
-
Marekani yamnyima Zarif viza ya kushiriki mkutano wa UN
Jan 07, 2020 08:10Marekani imekataa kumpa viza ya usafiri Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif kwa ajili ya kushiriki mkutano wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa unaotazamiwa kufanyika Januari 9 mjini New York.
-
Rouhani: Marekani italipa gharama kubwa ya kumuua shahidi Soleimani
Jan 05, 2020 07:50Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani itabeba dhima ya matokeo mabaya na radimali za kuuliwa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, aliyekuwa kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi la Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) na kusisitiza kuwa, Washington italipa gharama kubwa ya ugaidi wake huo.
-
Dakta Zarif akutana na Naibu Sultani wa Oman na msemaji wa Ansarullah Muscat
Dec 25, 2019 02:55Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mohammad Abdul Salam, msemaji wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen nchini Oman.
-
Marekani yamuachilia huru mwanasayansi Muirani baada ya kumshikilia kinyume cha sheria
Dec 07, 2019 12:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Marekani imemuachilia huru mwanasayansi Muirani Profesa Masoud Suleimani baada ya kumshikilia kwa zaidi ya mwaka mmoja kinyuma cha sheria.
-
Zarif azikosoa nchi za Magharibi kwa kunyazia kimya maghala ya silaha za nyuklia ya Israel
Dec 07, 2019 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekemea majaribio ya kombora linaloweza kubeba kichwa cha nyuklia yaliyofanywa na utawala haramu wa Israel na amezikosoa vikali Marekani na nchi za Ulaya kutokana na kunyamaza kimya mbele ya maghala ya silaha za nyuklia za utawala huo.