-
Zarif: Wairani hawatasalimu amri mbele dhulma za Marekani
Nov 02, 2019 06:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumzia vikwazo vipya vya Marekkani dhidi ya Iran na kusema kuwa, hata kama Marekani itawawekea vikwazo wanaume, wanawake na watoto wote wa Iran kamwe Wairani hawatasalimu amri na kupiga magoti mbele ya serikali ya Washington.
-
Zarif: Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umeshindwa kuzima ndoto za vijana wa Iran
Oct 22, 2019 08:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema mashinikizo, vikwazo na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani umeshindwa kuzima ndoto na mafanikio ya vijana wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Waziri wa mambo ya nje wa Iran azungumza na wenzake wa Russia, Iraq na Syria
Oct 18, 2019 07:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amefanya mazungumzo ya simu na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Iraq, Russia na Syria ambapo wamejadili kuhusu matukio ya hivi karibuni katika eneo hasa hali ya mambo kaskazini mwa Syria.
-
Zarif ataka kusitishwa uvamizi wa kijeshi dhidi ya Syria
Oct 16, 2019 07:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mwito wa kusitishwa uvamizi na mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Syria.
-
Zarif aikosoa Ulaya kwa kufuata mdundo wa ngoma ya Trump
Sep 30, 2019 07:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali nchi za Ulaya hususan Ujerumani, Ufaransa na Uingereza ambazo zilisaini makubaliano ya nyuklia ya JCPOA, kwa kushangilia madai na kauli zisizo na msingi zinazotolewa na Marekani dhidi ya Iran.
-
Zarif: Iwapo Marekani inataka mazungumzo na Iran lazima itekeleze ahadi zake
Sep 29, 2019 07:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Iran haitaacha mustakabali wa uchumi na wananchi wake utegemee mkutano wa kimaonyesho na Rais Donald Trump wa Marekani. Ameongeza kuwa, kama ambavyo Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alivyosema, 'iwapo Mareknai inataka kufanya mazungumzo na Iran, ni lazima kwanza itekeleze ahadi zake na isitishe vikwazo.'
-
Zarif: Wayemen wamelenga kiwanda cha kusafirisha mafuta Saudia na si hospitali wala shule
Sep 23, 2019 03:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa msimamo wa Marekani kuhusiana na mashambulizi yaliyofanywa na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen dhidi ya taasisi za mafuta za Saudi Arabia na kusisitiza kuwa, Wayemeni wamefanya mashambulizi hayo ya ndege zisizo na rubani kulipiza kisasi cha mashambulizi ya zaidi ya miaka mine sasa ya Riyadh ambayo yameua mauaji ya mamia ya maelfu ya raia wasio na hatia.
-
Dakta Zarif: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinafunga milango yote ya mazungumzo
Sep 22, 2019 12:55Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye ameelekea New York Marekani kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa amekosoa vikali hatua mpya ya Marekani dhidi ya Iran.
-
Vikwazo dhidi ya Iran; radiamali ya Marekani juu ya kudhalilishwa Saudia katika shambulio la Aramco
Sep 20, 2019 08:04Baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Saudi Arabia Aramco, kushambuliwa kwa ndege zisizokuwa na rubani na jeshi la Yemen, kwa mara nyingine tuhuma za Marekani zimekuwa zikielekezwa kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif asisitiza juu ya kushindwa siasa za Marekani
Sep 16, 2019 02:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa mgogoro wa Yemen utamalizika iwapo njia za ufumbuzi zilizopendekezwa na Iran zitakubaliwa.