-
Zarif: Wakala wa IAEA ufanye kazi kitaalamu bila ya upendeleo
Sep 09, 2019 00:32Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) unapaswa kutekeleza majukumu yake kitaalamu, kwa usiri na bila ya kupendelea upande wowote.
-
Zarif: Siku nne nyingine; muda wa kutangaza hatua ya tatu ya Iran ndani ya JCPOA
Sep 02, 2019 04:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa utekelezaji wa hatua ya tatu ya kupunguza ahadi na majukumu ya Iran kuhusiana na makubaliano ya JCPOA uko katika marhala ya mwisho ya uchukuaji maamuzi.
-
Zarif: Iran itatetea na kulinda maslahi yake
Aug 27, 2019 07:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitaki kuingia vitani lakini italinda na kutetea maslahi yake.
-
Zarif akiwa Beijing; ramani ya njia ya miaka 25 ya kutekeleza ushirika wa kistratijia baina ya Iran na China
Aug 27, 2019 07:22Mohammad Javad Zarif, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, akiwa anaongoza ujumbe wa ngazi za juu, Jumapili alitembelea China.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Rais wa Ufaransa
Aug 24, 2019 02:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ufaransa mjini Paris.
-
Zarif ahimiza kusainiwe mapatano ya kutoshambuliana, Ghuba ya Uajemi
Aug 18, 2019 12:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza tena udharura wa kuwepo mazungumzo baina ya nchi za kanda ya Ghuba ya Uajemi kuhusu mkataba wa kutoshambuliana.
-
Zarif: Meli ya mafuta ya Iran ilikuwa imezuiwa kinyume cha sheria
Aug 16, 2019 03:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amekanusha madai ya serikali ya Uingereza kuwa meli ya mafuta ya Iran ya Grace 1 ilikuwa imekiuka sheria za Umoja wa Ulaya kuhusu vikwazo.
-
Uungaji mkono wa Shekhe wa Muqawama kwa diplomasia ya Zarif
Aug 15, 2019 07:56Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amemtumia ujumbe Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambapo sambamba na kulaani hatua ya Marekani ya kumwekea vikwazo Mohammad Javad Zarif amesisitizia mshikamano wa muqawama kwa mwanadiplomasia huyo.
-
Marekani yaendeleza uraibu wa vikwazo, yamuwekea vikwazo Zarif
Aug 01, 2019 07:58Wizara ya Fedha ya Marekani imeendeleza uraibu wa nchi hiyo wa kuziwekea vikwazo nchi mbalimbali kwa kuliweka jina la Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika orodha ya watu waliowekewa vikwazo na nchi hiyo.
-
Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao
Jul 26, 2019 03:01Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Senegal wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.