-
Zarif: Kusimamishwa meli ya mafuta ya Iran ni uharamia na kumefanyika kwa amri ya Marekani
Jul 24, 2019 03:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, kitendo cha kusimamisha na kukamatwa meli kubwa ya mafuta ya Iran katika maji ya karibu na eneo la Jabal Tariq ni uharamia na wizi wa baharini na kimefanyika kwa amri ya Marekani.
-
Zarif: Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu
Jul 20, 2019 07:35Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Marekani haitafika popote kwa kupenda makuu na pia kutokana na tabia yake ya kuendelea kuiwekea mashinikizo Tehran.
-
Ugaidi wa kiuchumi wa Marekani; Iran haitasalimu amri
Jul 18, 2019 07:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, sera za vikwazo za serikali ya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran ni ugaidi; na akasisitiza kwamba: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.
-
Dakta Javad Zarif: Iran haitafanya mazungumzo na magaidi
Jul 18, 2019 07:18Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, sera za Marekani za kuliwekea vikwazo taifa la Iran ni ugaidi na kwamba, Iran haitafanya mazungumzo na magaidi.
-
UN yakosoa vizingiti vya utawala wa Trump dhidi ya Zarif
Jul 16, 2019 07:49Umoja wa Mataifa umekosoa vikali hatua ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani ya kumwekea vizingiti Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif.
-
Iran: Ni haki yetu kuchukua hatua za kukabiliana na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani
Jul 08, 2019 02:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni haki ya Tehran kuchukua hatua za kisheria ndani ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA katika kukabiliana na ugaidi wa kiuchumi wa Marekani dhidi yake.
-
Hatua mpya ya Iran katika kujibu ukiukaji ahadi wa madola ya Ulaya; Iran yavuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa
Jul 03, 2019 02:34Kwa mujibu wa kifungu nambari 36 cha makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, Iran imevuka kiwango cha kilo 300 za urani iliyorutubishwa.
-
Zarif amjibu Trump, asema 'vita vifupi na Iran' ni njozi
Jun 27, 2019 14:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja kama njozi na ndoto za alinacha matamshi ya Rais Donald Trump ambaye amedai kuwa iwapo Marekani itaingia katika vita na Iran, basi vita hivyo havitadumu kwa muda mrefu.
-
Zarif: Timu B ilijaribu kumtia mtegoni Trump aingie katika vita na Iran
Jun 24, 2019 03:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesema tukio la hivi karibuni la drone ya Marekani kukiuka anga ya Iran katika Bahari ya Oman ilikuwa sehemu ya njama pana za wapenda vita (Timu B) kumtia mtegoni Rais Donald Trump wa Marekani ili aingie katika vita na Iran.
-
"Iran haihitajii Marekani wala haitaki kuwa na uhusiano nayo"
Jun 10, 2019 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haihitajii Marekani wala haina haja ya kuwa na uhusiano na Washington.