-
Zarif: Mazungumzo na Marekani yana maana ya kuendelea mkondo wa kuishinikiza Iran
Jun 03, 2019 03:23Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema uwezekano wa mazungumzo baina ya Iran na Marekani ni mdogo sana.
-
Zarif akimhutubu Trump; Kiongozi Muadhamu ameshatangaza silaha za nyuklia ni haramu
May 28, 2019 03:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu usiku amejibu madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa eti Iran inafuatilia silaha za nyuklia na kusema, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshatangaza kuwa silaha za nyuklia ni haramu.
-
Zarif: Vikwazo vya Marekani vimevuruga mfumo wa dunia
May 24, 2019 07:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema vikwazo vya Marekani vinalenga kuvuruga mfumo na nidhamu ya kimataifa.
-
Zarif: Vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran havina tofauti na ugaidi
May 23, 2019 11:27Akizungumza na chombo kimoja cha habari cha Marekani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa vita vya kiuchumi vya Marekani dhidi ya taifa la Iran havina tofauti yoyote na ugaidi.
-
Udharura wa ulimwengu uliostaarabika kusimama mbele ya Marekani
May 18, 2019 03:21Akiwa katika safari ya kuitembelea Japan, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza na viongozi wa nchi hiyo kuhusu mapatano ya nyuklia mashuhuri kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji JCPOA, na vile vile siasa haribifu za Marekani katika eneo la Asia Magharibi.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Waziri Mkuu wa Japan mjini Tokyo
May 16, 2019 09:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amekutana na Waziri Mkuu wa Japan Shinzo Abe mjini Tokyo ambapo wamejadili uhusiano wa nchi mbili, masuala muhimu ya kieneo na kimataifa na hasa kuhusu mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji, JCPOA.
-
Siasa za upande mmoja za Trump; hatari kubwa kwa 'udiplomasia wa amani'
Apr 26, 2019 07:52Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema kwamba ili kulinda siasa za pande kadhaa, dunia inapasa kufanya juhudi za kuizuia Marekani kufikia maslahi yake inayoyafuatilia kwa njia zisizo za kisheria.
-
Zarif: Wasiwasi na kukata tamaa, sababu za Marekani kushadidisha vikwazo dhidi ya Iran
Apr 24, 2019 04:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uamuzi wa Marekani wa kushadidisha ugaidi wa kiuchumi dhidi ya taifa hili umetokana na wasiwasi na kukata tamaa utawala huo wa kibeberu.
-
Iran yalaani hujuma za kigaidi nchini Sri Lanka
Apr 22, 2019 01:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani vikali hujuma za kigaidi nchini Sri Lanka siku ya Jumapili na kusema serikali na watu wa Iran wanafungamna na familia za waathirika wa hujuma hizo.
-
Zarif: Wazayuni na waungaji mkono wao wana woga mkubwa na urafiki wa mataifa ya Kiislamu
Apr 20, 2019 08:02Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali shambulio la kigaidi la siku ya Alkhamisi nchini Pakistan na kusisitiza kuwa, magaidi wana hofu kubwa na suala la kuweko ukuruba baina ya nchi za Kiislamu.