Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zarif

  • Barua ya Zarif kwa walimwengu; uzushi wa Marekani ni hatari kubwa

    Barua ya Zarif kwa walimwengu; uzushi wa Marekani ni hatari kubwa

    Apr 18, 2019 12:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka serikali zote za dunia kuchukua msimamo wa kimsingi, imara na unaozingatia sherika katika kukabiliana na hatua ya Marekani ya kuliweka Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran SEPAH katika orodha yake ya makundi ya kigaidi.

  • Bashar al Assad: Matatizo ya Mashariki ya Kati yanatokana na siasa mbovu za Marekani

    Bashar al Assad: Matatizo ya Mashariki ya Kati yanatokana na siasa mbovu za Marekani

    Apr 17, 2019 03:07

    Rais Bashar al Assad wa Syria amesema kuwa, moja ya sababu kuu za ukosefu wa amani Mashariki ya Kati ni siasa mbovu za Marekani za kuingilia masuala ya ndani ya nchi za eneo hili.

  • Mazungumzo ya Dakta Zarif na Rais Bashar al-Assad wa Syria

    Mazungumzo ya Dakta Zarif na Rais Bashar al-Assad wa Syria

    Apr 16, 2019 14:41

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye yuko safarini nchini Syria, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo.

  • JCPOA ya staili ya Ulaya ya kumridhisha na kumhudumia Trump

    JCPOA ya staili ya Ulaya ya kumridhisha na kumhudumia Trump

    Apr 04, 2019 07:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, madai ya nchi tatu zinazounda Troika ya Ulaya dhidi ya mpango wa makombora wa Iran ni aina mojawapo ya kukwamisha mambo na kufanya yale yanayoipendeza na kuiridhisha Marekani.

  • Zarif: Ulaya haina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani

    Zarif: Ulaya haina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani

    Apr 04, 2019 03:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Nchi za Ulaya hazina uwezo wa kufanya lolote mbele ya Marekani.

  • Zarif azionya nchi za Kiarabu kutokana na hatari ya Marekani na utawala haramu wa lsrael

    Zarif azionya nchi za Kiarabu kutokana na hatari ya Marekani na utawala haramu wa lsrael

    Mar 29, 2019 04:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya lran ametoa radiamali kali kufuatia hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuirasimisha miinuko ya Golan ya Syria kuwa milki ya utawala haramu wa Kizayuni, ambapo amezionya nchi za Kiarabu kwamba kitendo cha nchi hizo kuendelea kujikurubisha kwa Marekani na lsrael kitapelekea kunyakuliwa pia ardhi zao.

  • Dakta Zarif: Saudi Arabia bado hamjachelewa, sitisheni vita  dhidi ya Yemen

    Dakta Zarif: Saudi Arabia bado hamjachelewa, sitisheni vita dhidi ya Yemen

    Mar 27, 2019 02:41

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameihutubu Saudi Arabi na washirika wake akiwanasihi kwamba, bado hawajachelewa kusimamisha jinamizi lililotokana na vita dhidi ya nchi masikini ya Yemen.

  • Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote

    Zarif: Kinyume na Saudia, Iran haitaki mvutano na upande wowote

    Mar 11, 2019 03:13

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haitaki kuwa na mvutano na nchi yoyote ile ikiwemo Saudi Arabia.

  • Iran: Usalama hupatikana kwa kupendana si kwa ubeberu

    Iran: Usalama hupatikana kwa kupendana si kwa ubeberu

    Mar 02, 2019 02:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, fikra ya kibeberu na kutumia silaha haribifu inapaswa kuondoka na mahala pake pachukuliwe na fikra ya mazungumzo na kuishi pamoja kwa usalama na kupendana.

  • Zarif arejea Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran baada ya Rais Rouhani kukataa ombi lake la kujiuzulu

    Zarif arejea Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran baada ya Rais Rouhani kukataa ombi lake la kujiuzulu

    Feb 27, 2019 16:38

    Mohammad Javad Zarif Khonsari, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amerejea kuongoza wizara hiyo baada ya ombi lake la kujiuzulu kukataliwa na Rais Hassan Rouhani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS