-
Kwa nini Israel ina hasira dhidi ya kutumwa meli ya Madleen Gaza?
Jun 10, 2025 10:11Katika hali ambayo, meli ya "Madleen" iliyokuwa imebeba misaada ya kibinadamu ilikuwa imekaribia Gaza, majeshi ya Israel yalishambulia meli hiyo, na kuwateka nyara abiria wake na kuzuia misaada hiyo kufika Gaza.
-
Mashambulizi dhidi ya Meli ya Uhuru; Jinai nyingine ya Israel
May 04, 2025 09:43Utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya jinai nyingine ya kushambulia kwa droni na ndege zisizo na rubani meli za uhuru (Freedom Flotilla) iliyokuwa inapeleka misaada ya kibinadamu kwa wananchi madhlumu wa Ghaza, na hivyo kuzidisha orodha ya jinai za utawala huo katili dhidi ya ubinadamu.
-
Jamii ya kimataifa yaendelea kunyamazia kimya jinai za Israel
Apr 13, 2025 12:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa onyo kali kuhusu vifo vya watoto wa Gaza kwa wingi kutokana na njaa kali na ukosefu wa chakula.
-
Mwangwi wa hasira za wananchi wa Morocco dhidi ya jinai za Israel
Apr 08, 2025 11:55Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano huko Rabat, mji mkuu wa nchi hiyo wakilaani jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Ghaza na kutaka kufutwa makubaliano ya kuwa na uhusiano wa kawaida kati ya Morocco na utawala wa Kizayuni.
-
ICRC: Tumeshtushwa na jinsi Israel inavyofanya jinai bila ya kiwewe
Apr 01, 2025 02:48Shirika la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (ICRC) limesema kuwa, limeshtushwa na jinsi utawala wa Kizayuni wa Israel unavyofanya jinai za kutisha huko Ghaza bila ya hofu wala kiwewe.
-
'Mauaji makubwa zaidi ya watoto': Iran yalaani mauaji ya Israel na US dhidi ya watoto wa Gaza
Mar 26, 2025 03:29Jamhuri ya Kislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya halaiki ya utawala wa Israel dhidi ya watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza, na kuyataja kuwa ni sehemu ya sera ya iliyopangwa ya mauaji ya kimbari yenye lengo la kufuta utambulisho wa Wapalestina.
-
Umuhimu wa msimamo wa kamati ya mawaziri wa nchi za Kiarabu na Kiislamu dhidi ya jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza.
Mar 25, 2025 02:19Kamati ya Mawaziri ya Nchi za Kiarabu na Kiislamu imeelezea wasi wasi wake kuhusu mashambulizi mapya ya utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na kutaka kutekelezwa mara moja na kikamilifu usitishaji vita kwa mujibu wa azimio nambari 2735 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina; Jinai mpya dhidi ya Wapalestina
Feb 20, 2025 08:10Leo tutaangazia jinai mpya ya Wazayuni na washirika wao ya kutaka kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina katika makazi na nchi yao.....
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Israel ashtakiwa katika Mahakama ya ICC
Feb 17, 2025 11:31Gideon Sa’ar Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa utawala vamizi wa Israel ameshtakiwa kwa kutenda jinai za kivita katika Ukanda wa Gaza.
-
Mashirika ya kimataifa ya kiraia: Ulaya inapaswa kufunga mlango wa kufanya biashara na Israel
Feb 06, 2025 02:32Mashirika ya kimataifa ya kiraia yameutaka Umoja wa Ulaya kupiga marufuku biashara na vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Wapalestina.