-
Venezuela imewezaje kuwa kinara wa ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Latini?
Dec 22, 2025 02:48Venezuela, baada ya kuvuka kikwazo cha vikwazo vya kiuchumi, imejinyakulia kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi katika Amerika ya Kusini mwaka 2025.
-
Kwa nini Uturuki haiko tayari kubadilisha misimamo yake kuhusu Gaza?
Dec 18, 2025 13:32Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametangaza kwamba nchi yake haitarudi nyuma na wala haitaachana na misimamo yake kuhusu Gaza.
-
Rais Pezeshkian atoa mwito wa umoja wa Waislamu duniani
Dec 18, 2025 10:27Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Muasisi wa Jamhuri ya Kiislamu, Imam Rouhullah Khomeini (MA) alikuwa mjumbe wa umoja na mshikamano miongoni mwa watu, akisisitiza kwamba mataifa ya Waislamu yanapaswa yaungane ili maadui wasiweze kuibua mifarakano miongoni mwao.
-
Kwa nini kutoshiriki Marekani katika kikao cha G20 nchini Afrika Kusini ni hasara kubwa kwa Washington?
Nov 14, 2025 08:09Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amesisitiza kuwa kutohudhuria Wamarekani katika kikao cha G20 ni hasara kubwa kwao.
-
Rais wa Colombia aendeleza kampeni ya kumkosoa Rais Trump wa Marekani
Oct 02, 2025 10:17Katika siku za hivi karibuni, Rais Gustavo Petro wa Colombia, ameendeleza ukosoaji mkali dhidi ya Rais Donald Trump wa Marekani na sera za utawala wake.
-
Pezeshkian: Si katika hulka na dhati ya Iran kusalimu amri
Oct 01, 2025 02:48Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian ameashiria azma na irada thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu mkabala wa mashinikizo ya maajinabi na kutangaza kwamba, taifa hili kamwe halitakubali kuburuzwa na kushinikizwa.
-
Kwa nini Trump anaishupalia jamii ya kimataifa iamini uwongo wake kuhusu Iran?
Sep 27, 2025 11:10Rais wa Marekani kwa mara nyingine tena amekariri katika houba aliyoitoa katika Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa madai yake ya uwongo na yasiyo na msingi dhidi ya Iran.
-
Sababu zilizoifanya Colombia itoe wito wa aina yake wa kuundwa jeshi la kimataifa la kuikomboa Palestina
Sep 26, 2025 02:26Colombia imetoa wito wa kuundwa jeshi la kimataifa la kukabiliana na utawala wa kizayuni wa Israel.
-
Kwa nini Putin anataka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani?
Sep 14, 2025 02:41Putin ametaka kukomeshwa vigezo vya undumakuwili na vitisho dhidi ya tamaduni duniani.
-
Rais Pezeshkian asisitizia haja ya kuimarisha uhusiano wa Iran na Madagascar
Aug 29, 2025 03:16Rais Masoud Pezeshkian amewataka mabalozi wapya walioteuliwa hivi karibuni kuiwakilisha Jamhuri ya Kiislamu katika nchi za Madagascar na Croatia kuimarisha uhusiano wa pande mbili baina ya Iran na nchi hizi mbili.