-
Somalia yakanusha vikali kufikia makubaliano ya siri na Sweden kuhusu kuwarejesha nchini raia wake
Oct 08, 2025 12:28Ofisi ya Waziri Mkuu wa Somalia leo imetoa taarifa na kukadhibisha vikali Somalia kwamba imefikia makubaliano ya siri na Sweden kuhusu kuwarejesha nyumbani raia wa Somalia kutoka Sweden ukiwemo pia mpango wa msaada wenye masharti kwa Somalia.
-
Wanamgambo washambulia gereza katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu
Oct 05, 2025 07:36Sauti za milipuko na risasi zilisikika pakubwa jana huko Mogadishu mji mkuu wa Somalia baada ya wanamgambo kushambulia gereza karibu na ikulu ya rais.
-
Somalia yaridhia katiba ya Afrika kuhusu haki na ustawi wa watoto
Oct 02, 2025 07:54Bunge la Shirikisho la Somalia jana lilipasisha Mkataba wa Afrika wa Haki na Ustawi wa Mtoto baada ya wabunge kukutana mjini Mogadishu.
-
Intelijensia ya Somalia yaua magaidi 24 wa Al Shabaab, yumo kiongozi wake anayewindwa kwa muda mrefu
Sep 27, 2025 02:22Shirika la Intelijensia na Usalama la Somalia (NISA) limetangaza kuwa limetekeleza operesheni ya mashambulizi iliyowalenga viongozi wa kundi la kigaidi la Al-Shabab na kuua magaidi 24 akiwemo kiongozi wa kundi hilo aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu.
-
Rais wa Somalia ataka kusimamishwa vita haraka Ukanda wa Gaza; asikitishwa na masaibu ya Wapalestina
Sep 26, 2025 02:30Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amesema kuwa nchi yake inaendelea kutiwa wasiwas sana na mateso na masaibu wanayopitia wananchi wa Palestina na kutaka kufikia mapatano ya kusimamisha vita haraka iwezekanavyo katika Ukanda wa Gaza.
-
Somalia, Muqawama walaani shambulio dhidi ya Hamas nchini Qatar
Sep 10, 2025 07:04Somalia imelaani shambulio la Israel katika mji mkuu wa Qatar, Doha ambalo liliwalenga viongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas, ikisema kuwa hujuma hiyo ni "ukiukwaji mkubwa wa sheria za kimataifa" na tishio kwa amani na usalama wa kikanda na kimataifa.
-
Shirika la Uhamiaji la Somalia na jitihada za kupambana na misimamo mikali
Sep 08, 2025 07:32Shirika la Uhamiaji la Somalia linafanya kazi kwa bidii kupambana na vitendo vya uchupaji mipaka na misimamo mikali na kuimarisha usalama katika mipaka ya nchi hiyo kwa kushirikiana na washirika wa kimataifa.
-
Maulidi ya Mtume SAW yaadhimishwa kwa sherehe kubwa Somalia, yatangazwa sikukuu rasmi ya kitaifa
Sep 05, 2025 14:45Maelfu ya Waislamu nchini Somalia jana Alkhamisi, waliandamana mitaani katika mji mkuu wa nchi hiyo Mogadishu kuadhimisha siku aliyozaliwa Bwana Mtume Muhammad SAW, huku Wizara ya Kazi na Masuala ya Kijamii ikiitangaza kuwa ni sikukuu ya kitaifa na siku rasmi ya mapumziko kuadhimisha tukio hilo.
-
Mrengo wa upinzani Somalia wafikia makubaliano na serikali kuhusu uchaguzi
Aug 27, 2025 02:28Mrengo uliojitenga na muungano mkuu wa upinzani nchini Somalia wa Salvation Forum umetia saini makubaliano ya uchaguzi na Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia, na hivyo kutoa pigo kubwa kwa harakati kuu ya upinzani nchini humo.
-
Magaidi wa al-Shabab zaidi ya 100 wauawa katika operesheni ya jeshi la Somalia
Aug 19, 2025 11:32Magaidi wa kundi la al Shabab zaidi ya 100 wameuawa katika oparesheni iliyotekelezwa na jeshi la Somalia katikaa maeneo karibu na mji wa Awdhegle katika mkoa wa Lower Shabelle.