-
AU yasisitiza kuunga mkono umoja wa Somalia; yalaani kuingiliwa masuala ya ndani ya Sudan
Feb 12, 2026 23:19Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU) kwa mara nyingine tena jana Alhamisi lilithibitisha kuhusu mamlaka ya kujitawala na umoja wa ardhi nzima ya Somalia na kutupilia mbali suala la kutambuliwa rasmi eneo la Somaliland kama nchi huru.
-
Kamanda wa ngazi ya juu wa al Shabaab auawa katika oparesheni ya usalama Somalia
Feb 10, 2026 11:32Idara ya Intelijinsia na Usalama wa Taifa ya Somalia (NISA) leo Jumanne imetangaza kuuawa kiongozi wa ngazi ya juu wa wanamgambo wa kundi la al- Shabaab katika oparesheni ya usalama.
-
Kusimama kidete Somalia dhidi ya mpango hatari wa Wazayuni huko Somaliland
Feb 10, 2026 09:25Somalia imeuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kuwahamisha kwa lazima wa Wapalestina na kuwapeleka Somaliland ambalo limejitangazia uhuru.
-
Somalia yamteua mkuu mpya wa jeshi kuchukua nafasi ya Jenerali Rage
Jan 29, 2026 23:19Baraza la Mawaziri la Somalia limemteua Brigedia Jenerali Ibrahim Mohamed Mohamud kuwa Kamanda mpya wa Jeshi la Taifa la Somalia (SNA). Hii ni kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wa Somalia iliyosomwa na msemaji wa serikali, Abdinasir Ahmed Bashir.
-
Je, Tel Aviv inalenga kuizingira kimkakati Misri katika Bahari Nyekundu?
Jan 28, 2026 23:54Misri, katika kujibu kuongezeka kwa ushawishi na uingiliaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Pembe ya Afrika, imeimarisha uwepo wake wa kijeshi nchini Somalia.
-
Somalia yakamata msaada wa chakula uliorejeshwa kwa WFP baada ya kutoelewana na Marekani
Jan 28, 2026 00:57Serikali ya Somalia imesema kuwa msaada wa chakula uliotolewa kwenye ghala wakati wa shughuli za upanuzi wa bandari katika mji mkuu, Mogadishu, umerejeshwa kwa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), kufuatia ripoti kwamba maafisa wa eneo hilo wamekamata msaada wa chakula uliotolewa na nchi wafadhili.
-
Serikali ya Somalia imechukua hatua gani katika kukabiliana na kujitenga kwa Somaliland?
Jan 21, 2026 04:28Kufuatia kuongezeka harakati za watu wanaotaka kujitenga huko Somaliland baada ya kutambuliwa rasmi na utawala wa Kizayuni wa Israel, serikali ya Somalia imechukua hatua mpya za kukabiliana na harakati hizo katika eneo hilo.
-
Rais wa Somalia atoa wito kwa Somaliland kushiriki katika mazungumzo
Jan 18, 2026 09:05Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia amewatolea wito maafisa wa Somaliland kushiriki katika mazungumzo na serikali yake; akisema kuwa yuko tayari kuafikiana katika masuala yote isipokuwa "umoja wa nchi."
-
Magaidi 30 wa al-Shabaab wauawa na vikosi vya Somalia, Uganda na AU
Jan 15, 2026 22:43Vikosi vya Somalia, Uganda na Umoja wa Afrika (AU) jana Alhamisi viliwaangamiza zaidi ya wanamgambo 30 wa al-Shabaab, na kujeruhi wengine kadhaa wakati wa operesheni ya pamoja huko kusini mwa Somalia.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 17 wa al-Shabaab
Jan 14, 2026 02:56Wizara ya Ulinzi wa Somalia imesema kwamba, Jeshi la Kitaifa la nchi hiyo limewaua magaidi 17 wa al-Shabaab katika operesheni ya anga iliiyofanyika kusini mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.