-
Maandamano makubwa nchini Tunisia na Morocco kupinga vita na kuzingirwa Gaza
Aug 12, 2025 09:27Mamia ya Waafrika kaskazini mwa Afrika kwa mara nyingine tena wamejitokeza mitaani kuelezea upinzani wao dhidi ya vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza na siasa za kuwalazimishia njaa wakazi wa ukanda huo.
-
Gachagua amshambulia vikali Raila, asema hula peke yake akawakumbuka wafuasi wakati wa uchaguzi
Aug 12, 2025 04:12Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amemshambulia vikali kwa maneno kinara wa chama cha ODM Raila Odinga akimuelezea kuwa ni mwanasiasa anayewania urais bila kuutaka wadhifa huo.
-
Wanajeshi wa Somalia waliokula njama na Al Shabab ya kumuua kamanda wa kikosi chao wanyongwa
Aug 12, 2025 03:27Wanajeshi wawili wa Somalia waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kula njama na kundi la kigaidi la Al Shabab ya kumuua kamanda wa kikosi chao walitekelezewa hukumu yao jana Jumatatu. Hayo ni kwa mujibu wa Mwendesha Mashtaka wa mahakama ya kijeshi ya nchi hiyo.
-
Waasi wa M23 wakanusha maadai ya kuwauwa raia katika jimbo la Kivu Kusini
Aug 11, 2025 23:07Kundi la waasi wa M23 wanaodhibiti maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekanusha madai ya kuwauwa raia katika jimbo la Kivu Kusini pamoja na madai ya kuajiri askari watoto.
-
Katika muda wa juma moja, watu 63 wameaga dunia kwa lisheduni mjini El-Fasher, Sudan
Aug 11, 2025 07:19Watu wasiopungua 63, wengi wao wakiwa wanawake na watoto wamefariki dunia kutokana na upungufu wa lishe katika mji uliozingirwa wa El-Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan.
-
Uganda na Sudan Kusini kuchunguza chanzo cha mapigano ya mpakani yaliyoua askari sita
Aug 11, 2025 07:18Serikali za Uganda na Sudan Kusini zimekubaliana kufanya uchunguzi wa pamoja kubaini chanzo cha mapigano yaliyozuka hivi karibuni kwenye mpaka wao wa pamoja na kupelekea askari sita wa pande mbili kuuawa.
-
WHO: Ugonjwa wa malale si tatizo tena la afya ya umma Kenya
Aug 10, 2025 07:11Kenya imefanikiwa kutokomeza rasmi ugonjwa wa malale ambao ulionekana kama tatizo la afya ya umma.
-
Afrika Kusini yasisitiza tena msimamo wake kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel, Gaza
Aug 10, 2025 05:52Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini kwa mara nyingine tena amesisitiza kuhusu msimamo wa nchi hiyo katika faili la kesi ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusema: Afrika Kusini inaitaka Israel isimamishe vita haraka iwezekanavyo huko Gaza, iruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika eneo hilo, iache kulikalia kwa mabavu eneo hilo na iache kuiaadhibu jamii ya Wapalestina.
-
Afisa wa UN: Senti 55 pekee zinahitajika kwa siku kusaidia mtu mmoja huko Sudan
Aug 09, 2025 10:10Umoja wa Mataifa umesema kuwa unahitaji senti 55 tu kwa siku ili kumsaidia kila mtu anayehitaji msaada huko Sudan ambako mamilioni ya watu wanakabiliwa na hali mbaya ya huku vita vikiendelea nchini humo.
-
Serikali ya DRC na waasi M23 walaumiana baada ya mazungumzo ya amani kukwama
Aug 09, 2025 05:47Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa AFC/M23 yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Mazungumzo haya yalitarajiwa kuendelea tena jana Ijumaa mjini Doha, Qatar.