-
Nigeria: US inazilazimisha nchi za Afrika ziwapokee wakimbizi Wavenezuela
Jul 11, 2025 13:11Nigeria imefichua kuwa Marekani inazishinikiza nchi za bara Afrika kuwakubali wakimbizi wa Venezuela wanaofukuzwa nchini Marekani.
-
Magaidi 13 wa al-Shabaab wauawa katika operesheni ya jeshi Somalia
Jul 11, 2025 12:25Shirika la kitaifa la ujasusi na usalama la Somalia (NISA) jana Ijumaa lilisema kuwa lmeifanya operesheni tatu zilizoratibiwa katika eneo la Shabelle ya Kati, na kuua takriban wanachama 13 wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab, wakiwemo wapiganaji na makamanda wake.
-
ICC: Uhalifu wa kivita, jinai dhidi ya binadamu vinaendelea Darfur, Sudan
Jul 11, 2025 11:23Naibu Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC amesema kuna "sababu za kuamini kwamba uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu" unaendelea kufanywa katika eneo la magharibi mwa Sudan la Darfur,
-
Mufti wa Misri alaani ziara ya ‘mashekhe wa Ulaya’ waliotembelea Israel
Jul 11, 2025 10:08Mufti wa Misri, Sheikh Nazir Ayad, amelaani ziara iliyofanywa na kundi alilolitaja kama "wale wanaojitangaza kuwa shakhsia wa kidini", waliotembelea ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel na kuitaja ziara hiyo kuwa ni "uwekezaji wa bei rahisi wa kisiasa kwa kutumia majoho bandia ya ushekhe ili kuipamba sura ya utawala ghasibu wa umwagaji damu".
-
Kauli ya Trump ya “Kiingereza kizuri” yawakasirisha Waafrika, yazua mdahalo kuhusu ukoloni mamboleo
Jul 11, 2025 04:13Watu wa Liberia na Waafrika kwa ujumla wameonyesha hasira baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kusema kuwa alishangazwa na jinsi rais wa Liberia anavyoongea “Kiingereza kizuri.” Kauli hiyo imeibua wimbi la ukosoaji kote Afrika.
-
DRC yaendelea kupambana na mlipuko wa kipindupindu
Jul 11, 2025 04:12Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inaendelea kukabiliana na kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambapo visa vilivyothibitishwa vimefikia 1,601 kote.
-
IOM: Mamia ya familia za raia wa Sudan watoroka Kordofan kutoka na vita
Jul 10, 2025 17:36Mapigano kati ya jeshi la Sudan na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) yamelazimisha familia 700 kulikimbia Jimbo la Kordofan Kaskazini, huko kusini mwa Sudan, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) lilisema hayo jana Alkhamisi.
-
Kadhi Mkuu wa Kenya Sheikh Abdulhalim aaga dunia, amezikwa leo
Jul 10, 2025 09:43Kadhi Mkuu wa Kenya Sheikh Abdulhalim Hussein Athman amefariki dunia usiku wa manane wa kuamkia leo mjini Mombasa na maziko yake yamefanyika leo.
-
Mahakama Kenya yaiamuru polisi iache kufunga jiji la Nairobi wakati wa maandamano
Jul 10, 2025 03:34Mahakama Kuu nchini Kenya imetoa amri ya kuwazuia polisi kuweka vizuizi au kuzuia raia kufika katikati mwa jiji la Nairobi wakati wa maandamano. Jaji wa mahakama hiyo Lawrence Mugambi alitoa amri hiyo jana Jumatano kufuatia kesi iliyowasilishwa na Katiba Institute baada ya jiji kufungwa wakati wa maandamano ya Saba Saba mnamo Jumatatu wiki hii.
-
Wawakilishi wa Serikali ya DRC na M23 wawasili Qatar kwa mazungumzo
Jul 10, 2025 02:43Wawakilishi wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kundi la waasi la M23 wamewasili katika mji mkuu wa Qatar, Doha kwa mazungumzo mapana kuhusu makubaliano. Hayo yameelezwa na mwanadiplomasia mmoja anayefahamu yanayojiri kuhusu mazungumzo hayo.