-
Rais wa Kenya aonya kuhusu njama ya kupindua serikali kupitia maandamano
Jul 09, 2025 10:52Rais wa Kenya William Ruto siku ya Jumatano aliwashutumu wapinzani wake wa kisiasa kwa kupanga njama ya kupindua serikali yake, akionya kuwa mashambulizi dhidi ya vituo vya polisi na maandamano yenye vurugu yatatafsiriwa kama vitendo vya kivita.
-
Waendesha mashtaka Kenya: Waandamanaji 37 watafunguliwa mashtaka ya ugaidi
Jul 09, 2025 04:35Serikali ya Kenya imetangaza kuwa itafungua mashtaka ya ugaidi dhidi ya watu 37 waliokamatwa kwenye maandamano ya kuipinga serikali mwishoni mwa mwezi Juni.
-
Rais wa Sudan Kusini amuuzulu mkuu wa majeshi baada ya kuhudumu kwa miezi 7 tu
Jul 09, 2025 04:24Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemfuta kazi mkuu wa majeshi baada ya kuhudumu katika wadhifa huo kwa muda wa miezi saba tu na kumtangaza mkuu mpya atakayeshika nafasi hiyo.
-
Asasi: Waasi, majambazi Nigeria wameua zaidi katika nusu ya kwanza ya 2025 kuliko 2024
Jul 08, 2025 11:04Idadi ya watu waliouawa na majambazi au waasi nchini Nigeria katika nusu ya kwanza ya mwaka huu, ni kubwa mno kuliko idadi ya waliouawa mwaka wote wa 2024, kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa jana Jumanne na shirika la haki za binadamu la Nigeria.
-
Umoja wa Mataifa 'washtushwa' na mauaji ya waandamanaji Kenya
Jul 08, 2025 10:50Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi mkubwa juu ya vifo vya watu zaidi ya 10 nchini Kenya, ambapo polisi na waandamanaji walikabiliana wakati wa maandamano ya kupinga sera za serikali ya nchi hiyo Jumatatu.
-
Rais wa Afrika Kusini ajibu bwabwaja na vitisho vya Trump
Jul 08, 2025 10:09Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amejibu matamshi ya vitisho na ubabe ya Rais wa Marekani, Donald Trump ambaye hivi karibuni alitishia kuongeza ushuru wa asilimia kwa nchi ambazo zinajiegemeza na kufungamana na "sera za kupambana na Marekani" za jumuiya ya kiuchumi ya BRICS.
-
Nembo ya ‘Made in Tanzania' yazinduliwa katika Maonesho ya Sabasaba 2025
Jul 08, 2025 09:09Tanzania imezindua rasmi nembo ya ‘Made in Tanzania’ kwa lengo la kutangaza bidhaa zinazotengenezwa nyumbani kimataifa na kuitangaza Tanzania kama nchi ambayo inatengeneza bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, ubunifu na hasa zenye asili ya Kiafrika.
-
Marais wa Misri na Somalia wakutana huku Cairo ikitafuta washirika wa kukabiliana na Ethiopia
Jul 08, 2025 04:22Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, amekutana na Rais wa Misri, Abdel Fattah el-Sisi, mjini Cairo siku ya Jumatatu, wakati ambapo mvutano unaongezeka kufuatia tangazo la Ethiopia kukamilisha ujenzi wa Bwawa Kuu la Renaissance (GERD).
-
Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili duniani yafanyika Rwanda
Jul 08, 2025 04:21Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yamefanyika mjini Kigali, Rwanda ambapo wanaharakati na wadau wa Kiswahili wamezitaka nchi za jumuiya ya Afrika mashariki kuanzisha mabaraza ya Kiswahili kama mojawapo ya suluhu ya changamoto kubwa zinazokabili ukuaji wa Kiswahili kwenye jumuiya hiyo.
-
11 wauawa Kenya katika maandamano ya kumbukumbu ya vuguvugu la demokrasia
Jul 08, 2025 03:01Watu wasiopungua 11 wameuawa na makumi ya wengine wamejeruhiwa wakati wa maandamano ya kuadhimisha miaka 35 ya kumbukumbu ya vuguvugu la kupigania demokrasia maarufu kama Saba Saba.